Nisome kozi gani ambayo inaajira kwa baadae?

Nisome kozi gani ambayo inaajira kwa baadae?

nenda veta kasome ufundi wa kunyosha body za magari na kuspray rangi, im telling u hutakosa ajira coz people will alwayz drink and drive.
 
Kwa hiyo waalimu wa awali ndio wanakuwa vilaza mwanzo mwisho!!!! Mi nikadhani hawa ndio wanatakiwa wawe vichwa sana maana pale mtoto ndio anapoanzia kupata msingi. Leo nimegundua kumbe watoto wanaanza kuharibiwa mapema sanaaaaaa.

sijasema walimu wa awali wanakuwa vilaza ila wengine hufaulu vizur tu na wanasomea hiyo koz kwa mwaka mmoja tu na kujiajir au kuajiriwa, sema sifa zao hadi huyo akitaka anaweza kusomea si nimewaona wengi
 
Sijui nani mchawi wa hawa vijana kuandika wakidhani ni vifupishi kumbe ujinga tu: xo, xixi, xiyo, xijui, wengine wanaandika 'co' wakimaanisha 'so' hatari sana isitoshe na kwenye mitihani wanaandika hivohivo mfano 'da2' wakimaanisha 'dada'.

Sijui yanatokea wapi yote haya.Mimi huwa nikiona tu hizo xx kwenye maneno ya kiswahili huwa nadharau kabisa kilichoandikwa humo hata kama mwandishi alikuwa anataka kuwasilisha kitu cha maana.
 
Dogo unapenda computer kusoma na unataka upate ajira haraka sasa mimi kwa ushaur wangu tu fikiria juu ya fani hizi kwa sasa Elimu,Afya na Kilimo na mifugo ukitaka makuu utaishia kuingiza nyimbo kwenye simu na kuchoma CD

khaaaaaaaaaaa!! Nmecheka hadi nimeumwa tumbo sababu kuna vijana wengi wanafanya kazi hizo na degree zao baada ya kukosa ajira, nlidhani ni huku tuu kumbe sehemu nyingi hii hali ipo???nimecheka aisee.
 
asipofata ushauri wako mkuu, basi asahau kula mema ya nchi hii maskini.

mkuu tatizo ufauru wake ndio tatizo sidhan kwa ufauru huo kama ualimu anaweza kuchukuliwa ,lakini kama hatojali basi asome computer maintanance ili akimaliza aweze hata kujiajiri kwa kufungua workshop yake ya kutengeneza computer lakini hayo madude mengine sijui programing na data base sijui manini kiukweli yatakuchosha mdogo wangu.
 
bado una nafasi mdogo wangu, kama uko vizuri katika swala la ada, nenda CBE dodoma au Dar es salaam pale kunakozi za kila aina kuanzia ngazi ya certificate mpaka degree, mfano umesema unapenda mambo ya computer, pale wana kozi ya IT kuanzia certificate nafikiri mpaka diploma then degree yake unaweza kwenda kumalizia vyuo vingine
 
soma wild life management ,,au chuo cha wanyamapori mwanza pasiansi au moshi mweka utapata ajira baada ya kumaliza tuuuuuuuuuuuu
 
Kasome mambo ya Ufugaji Nyuki. Asali ni dili kubwa sana tena unajiajiri sio wewe unawaza kuajiriwa tu.
 
Kwa hiyo waalimu wa awali ndio wanakuwa vilaza mwanzo mwisho!!!! Mi nikadhani hawa ndio wanatakiwa wawe vichwa sana maana pale mtoto ndio anapoanzia kupata msingi. Leo nimegundua kumbe watoto wanaanza kuharibiwa mapema sanaaaaaa.

kwa hiyo we unamshauri asome kozi gani?
 
Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?

Dogoo kama hutajari seek for second chance, sure i'am telling you unaenda kupotea na hizo Computer zako.
Unaweza kuona kama utapoteza mda kurudia lakini huko unakokimbilia sasa hivi unaweza ukajuta baadae na umri utakuwa umeshaenda tayari(point of no return).
 
nakushauri nenda kajifunze ku operate dozer,excavator na roller,itakusaidia maishani,kwa upande wa grader kama utaweza kukaza msuli kwenye mahesabu,fani hizi zina marupu rupu na bado wengi hawajashtuka............komaaa
 
XO...Xa
Hata hiyo iv ya 32 walikupa tuu ungetakiwa upate lisifuri likuuuuuuuubwa!! jifunze kwanza stadi za maisha ndio huje hapa tukushauri .
 
Kijana achana na suala la computer ukiwa na lengo la kuajiriwa labda kama unachannel tayari kwenye hiyo kitu.

Kama Una uwezo WA kifedha bora utafute shule ya private urudie paper.
 
dogo weka matokeo yako hapa tuone...ili tujue ulichukua masomo gani na tuone umpata madaraja gani
 
Back
Top Bottom