Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo waalimu wa awali ndio wanakuwa vilaza mwanzo mwisho!!!! Mi nikadhani hawa ndio wanatakiwa wawe vichwa sana maana pale mtoto ndio anapoanzia kupata msingi. Leo nimegundua kumbe watoto wanaanza kuharibiwa mapema sanaaaaaa.
kila kozi ina ajira.chagua unayopenda
Sijui nani mchawi wa hawa vijana kuandika wakidhani ni vifupishi kumbe ujinga tu: xo, xixi, xiyo, xijui, wengine wanaandika 'co' wakimaanisha 'so' hatari sana isitoshe na kwenye mitihani wanaandika hivohivo mfano 'da2' wakimaanisha 'dada'.
Dogo unapenda computer kusoma na unataka upate ajira haraka sasa mimi kwa ushaur wangu tu fikiria juu ya fani hizi kwa sasa Elimu,Afya na Kilimo na mifugo ukitaka makuu utaishia kuingiza nyimbo kwenye simu na kuchoma CD
asipofata ushauri wako mkuu, basi asahau kula mema ya nchi hii maskini.
Kwa hiyo waalimu wa awali ndio wanakuwa vilaza mwanzo mwisho!!!! Mi nikadhani hawa ndio wanatakiwa wawe vichwa sana maana pale mtoto ndio anapoanzia kupata msingi. Leo nimegundua kumbe watoto wanaanza kuharibiwa mapema sanaaaaaa.
Xo kla alnfeli alikua hasikilizi wengne inaweza ikawa ni matatizo yanayo harib xaikolijia kama mimi!
Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?