Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nissan.
Toyota
Toyota
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaiga sanahao toyota. kunatangazo niliona nikaamini nisan jux ile nashangaa ni toyota wameiga mfano wakeHapo labda Toyota 300 series wamegandamizia kutoka kwa Nissan, maana wenzao tangu pathfinder walishaanza kutoa box body.
Hizi lugha hizi.....zinaakisi upungufu wa vitu fulani kwenye mfuko wako wa suruali na account yako ya bank 🙂Hakuna jipya!
..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hizi lugha hizi.....zinaakisi upungufu wa vitu fulani kwenye mfuko wako wa suruali na account yako ya bank 🙂
Mkuu unanivunja mbavu...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ila Mimi naona Toyota model hazina Sura za kuvutia yaani angalau Nissan wako vizuri Kwenye design ya Magari....hapa Tanzania kuna Toyota BB, Porte na wills haya Magari nashindwa kuelewa Toyota waliwaza nini
interior design?Rumion iko vizuri Sana mkuu, huwezi kufaninisha na Porte.....ebu check Kwanza hiyo ndinga ilivyotulia
View attachment 1805921
Hii gari nzuri ina space ndani sema umbo la nje daaaahRumion iko vizuri Sana mkuu, huwezi kufaninisha na Porte.....ebu check Kwanza hiyo ndinga ilivyotulia
View attachment 1805921
Nawe kumbe umeliona hili,Toyota ubunifu umemshinda kaamua kucopy na kupaste...Hapo labda Toyota 300 series wamegandamizia kutoka kwa Nissan, maana wenzao tangu pathfinder walishaanza kutoa box body.
Interior design ya Rumion ni ya hovyo sana..Rumion iko vizuri Sana mkuu, huwezi kufaninisha na Porte.....ebu check Kwanza hiyo ndinga ilivyotulia
View attachment 1805921