Nissan 2021 Vs Toyota 2021 Jamaa wamefikia Tamati katika Ubunifu

Hapo labda Toyota 300 series wamegandamizia kutoka kwa Nissan, maana wenzao tangu pathfinder walishaanza kutoa box body.
Wanaiga sanahao toyota. kunatangazo niliona nikaamini nisan jux ile nashangaa ni toyota wameiga mfano wake
 
Hizi lugha hizi.....zinaakisi upungufu wa vitu fulani kwenye mfuko wako wa suruali na account yako ya bank 🙂
..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mkuu kuna nini tena..
 
Ila Mimi naona Toyota model hazina Sura za kuvutia yaani angalau Nissan wako vizuri Kwenye design ya Magari....hapa Tanzania kuna Toyota BB, Porte na wills haya Magari nashindwa kuelewa Toyota waliwaza nini
Mkuu unanivunja mbavu...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata Nissan wana Nissan march na cube....sijui waliwaza nini..
 
Hapo labda Toyota 300 series wamegandamizia kutoka kwa Nissan, maana wenzao tangu pathfinder walishaanza kutoa box body.
Nawe kumbe umeliona hili,Toyota ubunifu umemshinda kaamua kucopy na kupaste...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…