Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gari nzuri. Economy kwenye eneo la mafuta. Mimi inanipa wastani wa KM 13.7 hadi 14.8 hapo ni almost km 15 kwa kila lita moja. Tank yake inaingiza lita 65 in total ukitikisa ndi ndi ndi inabeba 67 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Habari zenu, nataka nunua nissan dualis ila sijajua changaoto zake,kama kuna mwenye taarifa zaidi na kijua hii gari atiririke hapa.
Nyie danganyaneni tuNi gari nzuri. Economy kwenye eneo la mafuta. Mimi inanipa wastani wa KM 13.7 hadi 14.8 hapo ni almost km 15 kwa kila lita moja. Tank yake inaingiza lita 65 in total ukitikisa ndi ndi ndi inabeba 67 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na kwa ulaji wake wa kunusa unaweza kuimagine namna ukitia full tank utajisahau kwenda sheli kwa muda na vile gari haichomi wese kivile kutokana na mfumo wake wa uchomaji wa mafuta ambao unahusisha na umeme,lakini pia ni gari yenye gear box ya toleo la CVT ambayo inabalance vizuri sana power ya gari na kushusha uhitaji wa ziada wa mafuta katika sehemu mbali mbali unapokuwa ukipita aidha muinuko au mteremko yenyewe itabalance mafuta.
Katika eneo la spare parts zake , baadhi zinaingiliana na gari nyezake kama X trail na Juke.
Ila overall bei ya spare ipo juu kwa brand zingine kama toyota but ni affordable kwa mtu anaejali mali yake plus hizi gari za Nissan baada ya service huwa zinakaa kuda mrefu sana unasahau.
Bado naulizia nachunguza aina za spare ambazo zinaingiliana. Maana gari haiharibiki hovyo so sijajua bado ndo najifunza bado.
Ukiwa mtunzaji na kujali gari unaweza funga spare ukasahau miaka hata miwili.
Kuhusu comfort ni gari nzuri sana imedesigniwa kwaajiri ya control. Set-up ya siti ipo vema sana seats ni nzuri zimeundwa kumpa dereva control ya kutumia gari kwa kustarehe kama amekalia siti ya Ferrari.
Show ya dashboard imekaa vizuri ukifunga na mziki wako wa redio ya android ukaweka navigation yako pale huku unakula mziki aiseee utasahau kama upo Duniani utahisi uko peponi.
Ukapiga air freshener nzuri, aiseee kuwa makini sana na wadada wamjini hawatataka kushuka hapo ndani watataka mzunguke nyote muda wote.
Ni miongoni mwa gari za heshima kwanza kwa bei yake ukinunua utakuja kunambia utakacholipia, pili maintenance yake hawa madereva wa Toyota hawawezi kuimudu sababu ya ubahiri wao si kwasababu hautaweza kuimudu. Ina muonekano mzuri sana wa gari yenye features mchanganyiko wa Sedan na SUV ndio maana watu hawawezi itofautisha na Rav 4 au au gari ndogo ipo katikati.
Hii ni gari ya kutambia mjini though unaweza kuitumia kusafiria mkoani pia haina shida mradi tu usiingize barabara za hovyo ambazo hata land Rover haiwezi kupenda kupitishwa. Ila ni gari ambayo kipindi cha mvua hautakuwa sana na hofu ya dimbwi za maji kama madereva wa Crown, utatamba kama madereva wa Rav 4, Subaru Forester XT, klugger, Rush, au Vanguard.
Haitaki kuchanganyiwa oil ukikosea hilo ni kama unaiambia nakuchukia nayo itakuchukia. Hii gari inataka mume mwema ambaye anamjua vema mkewe bila kuongea nae kwa maneno bali kwa vitendo.
Achana na maswala sijui ya Castrol oil, sijui Total, achana na hizo vitu hii ina oil yake specific kwaajiri ya gear box na engine. Ukiizingatia katika matunzo ya service trust me utakaa nayo miaka 40+. Kuna dada anayo namba B tokea 2009. Imagine hadi leo na nikikuonyesha utasema ameingiza mwaka huu. Ni mpya balaa. Achana na hawa madereva wa Toyota kazi kuongea wasichokijua kuhusu hii brand ya Nissan,karibu kwenye chama usiogope.
Pia kwenye coolant nakushauri tumia specific ya Nissan, usijali inakaa muda mrefu sana hadi unakuja itoa ukibadilisha utakuwa umeshasahau kama aidha ilikuja na gari au uliinunua.
Body ya hii gari huwezi fananisha na gari zingine kama baadhi ya gari za Toyota. Nadhani hata ukitazama Nissan Xtrail, Juke, na zinginezo tutakubaliana zina body ngumu sana ambayo haiharibiki na hata ikipigwa rangi inatoa vizuri sana sababu ya ubora wa bodi. Mfano wa ugumu wa bodi ni kama ule wa Toyota Rav four roho ya paka, toyota mark two, Toyota balloon, etc hizo ni baadhi zenye body ngumu. Sasa hiyo ndio kitu utakutana nayo katika hii gari kwenye bodi yake, sio bodi ya kuchoka, sasa ukiitunza inabakia na mvuto wa gari mpya kwa muda mrefu zaidi.
So hayo ni baadhi mambo ya hii gari na kama unataka kuipata then nakupa go ahead na baraka zangu zote. Mimi naitumia so naielewa si mtu wa kuambiwa labda me nilibahatika kupata nzuri ila so far haijanipa usumbufu wowote na ninakaribia kufunga nayo miaka miwili miezi nane ijayo.
Anyways, kama utakuwa umejiandaa naomba uwe makini sana maana wamiliki wa kibongo wengi wameziabuse kwa kuchanganya oil nadhani unajua akili za madereva wa Toyota walivyo. Wanahisi nayo hii ni gari ya kufanyiwa vituko vya toyota. Anasikia kitu kinavuma anaichunia hadi imletee msala plus spare cheap na fake zipo nyingi ukifunga haitoboi mwaka ila bado wanataka kushindana na Nissan kwa heshima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me ndio maana nawalipuaga suwaonei huruma.
So kama utanunua mkononi kuwa makini sana kuikagua na kupewa historia yake hiyo gari. Lakini pia kwa usalama na assurance basi ni vema ukachukua nje kabisa kwa kuiagiza. Tafuta ambayo imetembea kidogo at least 35K hadi 80K maana itakupa uhakika wa ubora sababu aliyeitumia atakuwa katumia muda mrefu.
Karibu Nissan, karibu kutumia Dualis.
We jamaa wewe.....so you are talking about Dualis inayokuja n CVT ya jatco na IPDM wiring system?Ni gari nzuri. Economy kwenye eneo la mafuta. Mimi inanipa wastani wa KM 13.7 hadi 14.8 hapo ni almost km 15 kwa kila lita moja. Tank yake inaingiza lita 65 in total ukitikisa ndi ndi ndi inabeba 67 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ww ni fundi wa magari aina ya Toyota?We jamaa wewe.....so you are talking about Dualis inayokuja n CVT ya jatco na IPDM wiring system?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umepiga mulemule!Ni gari nzuri. Economy kwenye eneo la mafuta. Mimi inanipa wastani wa KM 13.7 hadi 14.8 hapo ni almost km 15 kwa kila lita moja. Tank yake inaingiza lita 65 in total ukitikisa ndi ndi ndi inabeba 67 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

No, ukisha fungua CVT gear box ya Nissan/Mitsubishi na ya Toyota utaona utofauti uliopo wa design.... Nissan and Mitsubishi they have poor designed cvt transmission.... inherently zipo na changamoto na ndo maana hazidumu kama Toyota na Honda.Ww ni fundi wa magari aina ya Toyota?
Nakubali ni kwa baadhi ya matoleo. Chini ya 2010....Juu ya hapo zipo sawa....I stand to be correct.No, ukisha fungua CVT gear box ya Nissan/Mitsubishi na ya Toyota utaona utofauti uliopo wa design.... Nissan and Mitsubishi they have poor designed cvt transmission.... inherently zipo na changamoto na ndo maana hazidumu kama Toyota na Honda.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nissan nzuri ni zile za nyuma mkuu, but tangu nissan alivo anza kutumia hizi transmission za CVT ndo shida ikaanza...ukiona Nissan zote za sasa hivi zina ki badge/sticker imeandikwa (Super CVT kwa nyuma kwenye boot) ujue kama haipo makini kwenye driving yako soon utaanza experience transmission issues...tena huwa zina anza kwa kustuka..unaingiza gear unasikia gear ina ingia kwa kushtua na ikiambatana na sauti kama inagonga hivi ujue mamba ndo yananza... Pia hizi Nissan za leo zinachangamoto ma-bearing za miguu pamoja na bush za kifua..kwa steering pia kwakua zakuja na steering za umeme..so ukiwa na murano,sijui extrailT31, Dualis, qushqui, nk jiandae..Nakubali ni kwa baadhi ya matoleo. Chini ya 2010....Juu ya hapo zipo sawa....I stand to be correct.
Mkuu mbona dhida ulizoongelea zinatokana na kutokua na mafundi reliable? Mfano CVT gearbox haihitaji service ya mixer mixer lazima gari itakuletea mashikolo mageni tu...Nissan nzuri ni zile za nyuma mkuu, but tangu nissan alivo anza kutumia hizi transmission za CVT ndo shida ikaanza...ukiona Nissan zote za sasa hivi zina ki badge/sticker imeandikwa (Super CVT kwa nyuma kwenye boot) ujue kama haipo makini kwenye driving yako soon utaanza experience transmission issues...tena huwa zina anza kwa kustuka..unaingiza gear unasikia gear ina ingia kwa kushtua na ikiambatana na sauti kama inagonga hivi ujue mamba ndo yananza... Pia hizi Nissan za leo zinachangamoto ma-bearing za miguu pamoja na bush za kifua..kwa steering pia kwakua zakuja na steering za umeme..so ukiwa na murano,sijui extrailT31, Dualis, qushqui, nk jiandae..
But ni gari kimuonekano shida sio reliable
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Honda ndiye baba wa CVT transmission.No, ukisha fungua CVT gear box ya Nissan/Mitsubishi na ya Toyota utaona utofauti uliopo wa design.... Nissan and Mitsubishi they have poor designed cvt transmission.... inherently zipo na changamoto na ndo maana hazidumu kama Toyota na Honda.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kudanganya kwa misingi ipi kwamba haya niliyoyasema nimetunga au kuambiwa sio experience yangu binafsi?Nyie danganyaneni tu
Sijui umelenga nini kuniuliza hivyo hebu fafanua nikuelewe vema!We jamaa wewe.....so you are talking about Dualis inayokuja n CVT ya jatco na IPDM wiring system?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] maana ananitajia parts hardware za gari sijui iweje?!Ww ni fundi wa magari aina ya Toyota?
Sasa sio kwa Nissan zote. Nina jirani yangu anayo Nissan Dualis tokea 2009, ipo hadi leo inatembea vizuri tu haina shida.No, ukisha fungua CVT gear box ya Nissan/Mitsubishi na ya Toyota utaona utofauti uliopo wa design.... Nissan and Mitsubishi they have poor designed cvt transmission.... inherently zipo na changamoto na ndo maana hazidumu kama Toyota na Honda.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mmmmmmhmn sijajua umetoa wapi hizi experiences ila mimi nilitafiti sana before sijafanya maamuzi.Nissan nzuri ni zile za nyuma mkuu, but tangu nissan alivo anza kutumia hizi transmission za CVT ndo shida ikaanza...ukiona Nissan zote za sasa hivi zina ki badge/sticker imeandikwa (Super CVT kwa nyuma kwenye boot) ujue kama haipo makini kwenye driving yako soon utaanza experience transmission issues...tena huwa zina anza kwa kustuka..unaingiza gear unasikia gear ina ingia kwa kushtua na ikiambatana na sauti kama inagonga hivi ujue mamba ndo yananza... Pia hizi Nissan za leo zinachangamoto ma-bearing za miguu pamoja na bush za kifua..kwa steering pia kwakua zakuja na steering za umeme..so ukiwa na murano,sijui extrailT31, Dualis, qushqui, nk jiandae..
But ni gari kimuonekano shida sio reliable
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuna watu ni wazembe sana halafu gari zikiwashinda wanaanza kuziponda.Mkuu mbona dhida ulizoongelea zinatokana na kutokua na mafundi reliable? Mfano CVT gearbox haihitaji service ya mixer mixer lazima gari itakuletea mashikolo mageni tu...
mkuu naomba unielekeze kuhusu oil me yangu nahis saiz inapiga 9km/ltr na huwa naweka oil Castrol oil wew unarumia oil gani na pia ntumie oil gani kwa ajili ya gear boxNi gari nzuri. Economy kwenye eneo la mafuta. Mimi inanipa wastani wa KM 13.7 hadi 14.8 hapo ni almost km 15 kwa kila lita moja. Tank yake inaingiza lita 65 in total ukitikisa ndi ndi ndi inabeba 67 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na kwa ulaji wake wa kunusa unaweza kuimagine namna ukitia full tank utajisahau kwenda sheli kwa muda na vile gari haichomi wese kivile kutokana na mfumo wake wa uchomaji wa mafuta ambao unahusisha na umeme,lakini pia ni gari yenye gear box ya toleo la CVT ambayo inabalance vizuri sana power ya gari na kushusha uhitaji wa ziada wa mafuta katika sehemu mbali mbali unapokuwa ukipita aidha muinuko au mteremko yenyewe itabalance mafuta.
Katika eneo la spare parts zake , baadhi zinaingiliana na gari nyezake kama X trail na Juke.
Ila overall bei ya spare ipo juu kwa brand zingine kama toyota but ni affordable kwa mtu anaejali mali yake plus hizi gari za Nissan baada ya service huwa zinakaa kuda mrefu sana unasahau.
Bado naulizia nachunguza aina za spare ambazo zinaingiliana. Maana gari haiharibiki hovyo so sijajua bado ndo najifunza bado.
Ukiwa mtunzaji na kujali gari unaweza funga spare ukasahau miaka hata miwili.
Kuhusu comfort ni gari nzuri sana imedesigniwa kwaajiri ya control. Set-up ya siti ipo vema sana seats ni nzuri zimeundwa kumpa dereva control ya kutumia gari kwa kustarehe kama amekalia siti ya Ferrari.
Show ya dashboard imekaa vizuri ukifunga na mziki wako wa redio ya android ukaweka navigation yako pale huku unakula mziki aiseee utasahau kama upo Duniani utahisi uko peponi.
Ukapiga air freshener nzuri, aiseee kuwa makini sana na wadada wamjini hawatataka kushuka hapo ndani watataka mzunguke nyote muda wote.
Ni miongoni mwa gari za heshima kwanza kwa bei yake ukinunua utakuja kunambia utakacholipia, pili maintenance yake hawa madereva wa Toyota hawawezi kuimudu sababu ya ubahiri wao si kwasababu hautaweza kuimudu. Ina muonekano mzuri sana wa gari yenye features mchanganyiko wa Sedan na SUV ndio maana watu hawawezi itofautisha na Rav 4 au au gari ndogo ipo katikati.
Hii ni gari ya kutambia mjini though unaweza kuitumia kusafiria mkoani pia haina shida mradi tu usiingize barabara za hovyo ambazo hata land Rover haiwezi kupenda kupitishwa. Ila ni gari ambayo kipindi cha mvua hautakuwa sana na hofu ya dimbwi za maji kama madereva wa Crown, utatamba kama madereva wa Rav 4, Subaru Forester XT, klugger, Rush, au Vanguard.
Haitaki kuchanganyiwa oil ukikosea hilo ni kama unaiambia nakuchukia nayo itakuchukia. Hii gari inataka mume mwema ambaye anamjua vema mkewe bila kuongea nae kwa maneno bali kwa vitendo.
Achana na maswala sijui ya Castrol oil, sijui Total, achana na hizo vitu hii ina oil yake specific kwaajiri ya gear box na engine. Ukiizingatia katika matunzo ya service trust me utakaa nayo miaka 40+. Kuna dada anayo namba B tokea 2009. Imagine hadi leo na nikikuonyesha utasema ameingiza mwaka huu. Ni mpya balaa. Achana na hawa madereva wa Toyota kazi kuongea wasichokijua kuhusu hii brand ya Nissan,karibu kwenye chama usiogope.
Pia kwenye coolant nakushauri tumia specific ya Nissan, usijali inakaa muda mrefu sana hadi unakuja itoa ukibadilisha utakuwa umeshasahau kama aidha ilikuja na gari au uliinunua.
Body ya hii gari huwezi fananisha na gari zingine kama baadhi ya gari za Toyota. Nadhani hata ukitazama Nissan Xtrail, Juke, na zinginezo tutakubaliana zina body ngumu sana ambayo haiharibiki na hata ikipigwa rangi inatoa vizuri sana sababu ya ubora wa bodi. Mfano wa ugumu wa bodi ni kama ule wa Toyota Rav four roho ya paka, toyota mark two, Toyota balloon, etc hizo ni baadhi zenye body ngumu. Sasa hiyo ndio kitu utakutana nayo katika hii gari kwenye bodi yake, sio bodi ya kuchoka, sasa ukiitunza inabakia na mvuto wa gari mpya kwa muda mrefu zaidi.
So hayo ni baadhi mambo ya hii gari na kama unataka kuipata then nakupa go ahead na baraka zangu zote. Mimi naitumia so naielewa si mtu wa kuambiwa labda me nilibahatika kupata nzuri ila so far haijanipa usumbufu wowote na ninakaribia kufunga nayo miaka miwili miezi nane ijayo.
Anyways, kama utakuwa umejiandaa naomba uwe makini sana maana wamiliki wa kibongo wengi wameziabuse kwa kuchanganya oil nadhani unajua akili za madereva wa Toyota walivyo. Wanahisi nayo hii ni gari ya kufanyiwa vituko vya toyota. Anasikia kitu kinavuma anaichunia hadi imletee msala plus spare cheap na fake zipo nyingi ukifunga haitoboi mwaka ila bado wanataka kushindana na Nissan kwa heshima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me ndio maana nawalipuaga suwaonei huruma.
So kama utanunua mkononi kuwa makini sana kuikagua na kupewa historia yake hiyo gari. Lakini pia kwa usalama na assurance basi ni vema ukachukua nje kabisa kwa kuiagiza. Tafuta ambayo imetembea kidogo at least 35K hadi 80K maana itakupa uhakika wa ubora sababu aliyeitumia atakuwa katumia muda mrefu.
Karibu Nissan, karibu kutumia Dualis.
Unatumia gari gani mkuu sijakupata vema?mkuu naomba unielekeze kuhusu oil me yangu nahis saiz inapiga 9km/ltr na huwa naweka oil Castrol oil wew unarumia oil gani na pia ntumie oil gani kwa ajili ya gear box