Nissan Dualis na Toyota Alex

Nissan Dualis na Toyota Alex

rayruy

Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
7
Reaction score
18
Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali.

Nahitaji kununua gari.

Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
 
Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali.
Nahitaji kununua gari.
Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
Ukinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za Pressure
 
Zote ziko Poa...ila Mabinti wengi wamechangamkia Sana Dualis..Halafu nafikiri bei Yake sokoni ipo poa Kidogo ukilinganisha Allex kwa sbb Brand ni Toyota hata kama toleo sio zuri.. !
 
Kama wewe ni mtu wa familia, hautafuti gari kuoshea...unanunua kwa ajili ya usafiri sio mengine...

Na unabiashara au kazi zinazokufanya busy barabara za mjini nunua Allex...sema mimi ningechagua Runx.

Kama ni kwa mara ya kwanza....tafuta gari nyingine..
 
Sory kuna utofautiano gani kati ya Allex na Runx kuhusu.
Durability, Fuel consumption, Stability, price, spare part, Appearance, horse power, off road capacity etc.
Naokmb utupe Elimu
 
Sory kuna utofautiano gani kati ya Allex na Runx kuhusu.
Durability, Fuel consumption, Stability, price, spare part, Appearance, horse power, off road capacity etc.
Naokmb utupe Elimu

Ninauzoefu ila sio mtaalamu...

Allex...ulaji mafuta kidogo japo tofauti sio saana...Allex inanafasi kubwa...Spare zinashare karibu nyingi......

Durability naipa Runx...off road na control nzima ya gari ni Runx...Runx inavumilia shida zinazovumilika.

Bei ni suala linalotegemea na ulipo.
 
Nissan Dualis bei ghali kuliko allex, tena si kwa milioni 1 au 2
Dah...Nimekupata mkuu. Unajua Mafundi Wetu Huku mtaani Wametulemaza Ukimwambia tu Gari ni Toyota anakwambia hiyo Spare yake rahisi...Sasa mtajie Sijui Mitsubishi au Sijui Nissan...Kabla hata ajaenda dukani Lazima Akupange....' 'Ndg Si unajua hii gari Spare Zipo ila Bei Yake Sasa ni Moto...ingekuwa Toyota hii Simpo tu'

Mafundi Muogopeni Mungu...!

Njia Rahisi Mwambie Akitoe hicho kifaa kilichoharibika Ukakitafute Mwenyewe..!
 
Ukinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za Pressure
Acha basi umbea na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Sina Cha kuongezea subili zianzw kukaa juu ya mawe na soko linaporomoka
Kuna dada anaitumia tokea 2011 ukiiona utasema kaingiza mwaka huu. Gari ni kuielewa matunzo yake. Alinishawishi sana nilikaa nae kuongea nae ndio nikajua namna ya kuishi na hii gari.

Toyota sio Nissan. Subaru sio Mazda, Mercedes Benz sio Volkswagen.

Zijue gari kwa matunzo.
 
Back
Top Bottom