Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za PressureWanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali.
Nahitaji kununua gari.
Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za Pressure
Ila mmeambiwa hapo juu na mdau, msisahau na dawa za pressure ziwe karibu 😂😂Zote ziko Poa...ila Mabinti wengi wamechangamkia Sana Dualis..Halafu nafikiri bei Yake sokoni ipo poa Kidogo ukilinganisha Allex kwa sbb Brand ni Toyota hata kama toleo sio zuri.. !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mna majibuUkinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za Pressure
hakuna dualis ya cc1500, zote ni 1990Toyota Alex na Nissan dualis kwenye matumizi ya mafuta zinafanana zote Zina 1500cc,ila hiyo Nissan dualis inaizidi advantage Toyota Alex kwa kuwa Dualis Ina four wheel drive,na hiyo ni sifa kubwa sana kwa gari kuwa nayo.
Sina Cha kuongezea subili zianzw kukaa juu ya mawe na soko linaporomokaUkinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za Pressure
Kipato cha kawaida Allex, kipato cha juu nissan duals.Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali.
Nahitaji kununua gari.
Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
Sory kuna utofautiano gani kati ya Allex na Runx kuhusu.Kama wewe ni mtu wa familia, hautafuti gari kuoshea...unanunua kwa ajili ya usafiri sio mengine...
Na unabiashara au kazi zinazokufanya busy barabara za mjini nunua Allex...sema mimi ningechagua Runx.
Kama ni kwa mara ya kwanza....tafuta gari nyingine..
Zote ziko Poa...ila Mabinti wengi wamechangamkia Sana Dualis..Halafu nafikiri bei Yake sokoni ipo poa Kidogo ukilinganisha Allex kwa sbb Brand ni Toyota hata kama toleo sio zuri.. !
Sory kuna utofautiano gani kati ya Allex na Runx kuhusu.
Durability, Fuel consumption, Stability, price, spare part, Appearance, horse power, off road capacity etc.
Naokmb utupe Elimu
Dah...Nimekupata mkuu. Unajua Mafundi Wetu Huku mtaani Wametulemaza Ukimwambia tu Gari ni Toyota anakwambia hiyo Spare yake rahisi...Sasa mtajie Sijui Mitsubishi au Sijui Nissan...Kabla hata ajaenda dukani Lazima Akupange....' 'Ndg Si unajua hii gari Spare Zipo ila Bei Yake Sasa ni Moto...ingekuwa Toyota hii Simpo tu'Nissan Dualis bei ghali kuliko allex, tena si kwa milioni 1 au 2
Acha basi umbea na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ukinunua Nissan Dualis usisahau na note book ya kuhifadhi namba za mafundi. Pia, mfuko wa kuhifadhi dawa zako za Pressure
Bei ya Dualis inakimbizana na Subaru Forester XT huko. Unafanishaje na Alexis ambayo ni baby walker.Zote ziko Poa...ila Mabinti wengi wamechangamkia Sana Dualis..Halafu nafikiri bei Yake sokoni ipo poa Kidogo ukilinganisha Allex kwa sbb Brand ni Toyota hata kama toleo sio zuri.. !
Dualis ni 1900 hadi 2200 Cc kacheki tena mkuu hakuna ya 1500Toyota Alex na Nissan dualis kwenye matumizi ya mafuta zinafanana zote Zina 1500cc,ila hiyo Nissan dualis inaizidi advantage Toyota Alex kwa kuwa Dualis Ina four wheel drive,na hiyo ni sifa kubwa sana kwa gari kuwa nayo.
Kuna dada anaitumia tokea 2011 ukiiona utasema kaingiza mwaka huu. Gari ni kuielewa matunzo yake. Alinishawishi sana nilikaa nae kuongea nae ndio nikajua namna ya kuishi na hii gari.Sina Cha kuongezea subili zianzw kukaa juu ya mawe na soko linaporomoka
12M hadi 13M unapata runx au Alexis. Nissan Dualis jipange kuanzia 16M hadi 23M huko.Nissan Dualis bei ghali kuliko allex, tena si kwa milioni 1 au 2