Gear box ya hii gari wengi wanaua kwasababu ya hydraulic wanazoweka.. either wanaweka hydraulic isiyo sahihi(NS-2) au wnaweka hydraulic hafifu na sio kwenye level yake inaYotakiwa...lakini pia hzi gari zinatumia gear box ya belts isiyokua na gear za menomeno (yaan CVT transmission/continuous variable transmission) sasa watu wengi hawajui namna ya kuishi na transmission system (gearbox) hii ndo maana wanaziua..angalia hata Toyota zinazokuja na gearbox ya CVT mfano ist new,sienta,rumion, belta, ractis,vitz,premio/allion new, utakuta zipo na same problems why because of putting wrong transmission fluid....jaman always weka transmission fluid recommended na manufacturer pia avoid frequent changing ya transmission fluid... change at least after every 30,000km kama unamatumizi heavy ila kwa matumizi ya kawaida unaweza change kwa interval ya 50,000km... Tunza gari likutunze