Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwani kuna tofauti gani ya CVT gearbox oil ya Castrol na hiyo usemayo? Pia je unaweza weka picha yake hapa?Imagine.. people dont know kwamba gearbox inafanya kazi kwa njia ya friction (ambapo kupitia clutches ambazo ndo zina friction materials kwa ajili ya iu transfer power to wheels..sasa with time hizi frictional materials huenda zinaisha but zikiisha zile debris za frictional materials zitabaki kwenye mzunguko wa hydraulic so kama hydraulic haibadilishwi so frequent zile debris zitasidia kutengeneza friction between clutches surfaces na kusaida ku re enforce clutches ziweze kusafirisha power ya engine to wheels but uki replace tu fluid (transmission fluid) unaweza jikuta unaleta tatizo la transmission slippage unaangaaa gari unakanyaga mafuta haiendi...why transmission ina slip..na ndo maana manufacturer wanakuambia under normal driving conditions usibadilishe kabisa transmission fluid. But under extreme conditions hizi transmission fluid hu oxide kwa kuungizwa na joto kali matokeo yake density yake hushuka na kushindwa kutengeneza pressure ya kutosha kusukuma clutches au ku-hold friction(kwa gari za cvt) hivo kwa case hii inakubidi ubadili transfer fluid...na sio haya mambo fundi anakuambia badili gearbox oil(transmission fluid) kila ya service 3. HaTari sana..(na mtu akibadili anatia Lubex au unamsikia nimeweka transmission fluid ya Castrol mara Total unabaki una mshangaa kawekaje hizo fluid kwa gari ina taka T-iv, cvt fluid or Ws, DSG....
Mie kimeo changu nilibadili transmission fluid wakati kina km 110,000 sasa hivi kina km 230,000 (kinatumia CVT-TC) (by the way napenda sana gari yenye transmission ya CVT)