Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ni mjinga… mbona toyota tunanunua 20 years back from manufacturing na hatuexperience hayo matatizo?Yaani mjapani atengeneze gari mwaka 2008 aitumie miaka 16 akuuzie leo wewe ukampelekee fundi maiko wa yombo dovya akatengeneze shoti kwa kuvuruga system ya umeme uje umlaumu mjapani kweli??
Najua unajaribu kutetea kiberiti chako, tht will be my last advice to you….Unasema nyingi zimeweka moto je mliagiza mpya je mmenunua kwa wakala wa nissani au used japan au singapore
Je zikifika mnaweka spair sahihi
La mwisho nunua gari jipya kwa nissani uke kulalamika watakuja jipya nissani wenyewe...... sasa umenunua magari ya kajamba nani beforwad unalalamika mkuu
Kumuelimisha chizi unajipa kaziTumia akili kiduchu, bongo asilimia kubwa tunatumia used, kina dualis, patrol, ist, outlander, alphard na ndugu zao wengine, wote wametoka japan hawajaungua, lakini kuja bongo mmoja anaungua, na ukizingatia mafundi wa dualis ndio wa alphard,probox ndio wa patrol na gari nyinginezo..
Tuthibitishie kuwa gari unayoiona kwny picha ilifungwa android au kuungwa ungwa wire.ni sawa ww unaona unachokiona uko mtaani gri linawaka moto lakini je,chanzo cha gari kuwaka moto unakijua? au unafikiri gari liwake moto tu bila chanzo ndio huyo mwenzio anakwambia nissan hazitaki kuchezewa mfumo wake wa umeme kwa kufunga adroid radio,taa za booster na yote yanayohusu wiring ya umeme mafundi wengi wanakata na kuunga nyaya sehemu sio sahihi lazima gari ilete short
Hakikisha fire extinguisher yako ipo in place and up to dateMoto
Sanahani sijawahi kumiliki au kununua au kutumia gari inaitwa NISSAN DUALIS.. Ila mimi ni mdau kwenye hiyo sekta na nilichoandika ndio uhalisia kwa ground
Ishu ya kununua mpya au used sheria ya nchi yetu imeruhusu kwa masharti ya gari kufanyiwa ukaguzi
Nadhani umechangia kwa kusoma heading na si maudhui
Huko behind ninini Hicho🥺🤣
Mimi ni mdau mkubwa wa nagati
Tulikuwa tushaingizwa cha kike kuhusu umeme
Mjinga mwenyewe, tena mpuuzi. Think about muda wa matumizi tangu kutengenezwa hadi kuja kuungulia yombo, mafundi maiko hawajaujulia vzr mfumo wa umeme wa dualis, mbona hazijaanza kuungulia huko Japani miaka yote??Ww ni mjinga… mbona toyota tunanunua 20 years back from manufacturing na hatuexperience hayo matatizo?
Nissan kimeo
Ww inaonyesha hujawai kumiliki gari…..Mjinga mwenyewe, tena mpuuzi. Think about muda wa matumizi tangu kutengenezwa hadi kuja kuungulia yombo, mafundi maiko hawajaujulia vzr mfumo wa umeme wa dualis, mbona hazijaanza kuungulia huko Japani miaka yote??
Sikulifahamu hili la mchina kumwaga mafundi nchi nzimaTATIZO KUBWA NA WA KUTUPIWA LAWAMA ni VETA, NIT na DIT na wengineo (Serikali)!! Why?? Miaka ya 60,70 na 80 taasisi zetu za elimu zilikuwa zinaenda na Wakati. Ila ni miaka zaidi ya 20 sasa Taasisi zetu za Elimu na mamlaka za ufundi zimekuwa vipofu na avina ubunifu wa kwenda na wakati[emoji24]
1. Mpaka leo Mitaala ya Ufundi magali katika vyuo vetu vyote ni ya mwaka 47!, Veta mpaka miaka ya 2000 awakuwa na mitahala ata ya Computer repair. Ata mitahala ya Jinsi ya kurepea simu za mkononi - baada ya kusaidiwa na wasio wafanyakazi wa VETA ndo kidogo wakaweza anza fundisha. Kule South Africa Makampuni yote ya magari, simu na TV hutoa kwa Vyuo vya ufundi bure sample za product zao na service manuals ili vijana wawe wabobezi kwenye hizo products zao, hapa atuna coordination ata kidogo kwenye taasisi na viwanda husika! TCRA pia walitakiwa kusimamia hili kwenye vifaa vya mawasiliano( Watanzania wengi watakubaliana na mimi kuwa atuna mafundi simu wabobezi hapa nchini 80% ni makanjanja tu- unapeleka simu inawaka fundi anakurudishia aiwaki[emoji1787])Mpaka leo AKUNA CHUO TANZANIA KINA FUNDISHA AUTOMOTIVE electronics- vijana wanajifunza tu umeme magari unaousu jinsi ya kuunga taa na wa kwenye plug system- huyu atawezaje kusoma na kuprogram ECU, ABS systems? Ambazo ni part ya magari yote ya sasa??? Ukweli Vyuo vetu vinazalisha vijana wasio na stadi zinazotakiwa kwa miaka hii na pia mamlaka husika azisimamii majukumu yake. TCRA walikuja na program ya kufundisha &kucertfy mafundi Simu! Wajanja wakapiga hela now imekufa[emoji24] . Magari mbali na kuwaka zikiwa Bara barani , maelfu zipo garage kwa ukosefu wa Technical know how za mafundi wetu!! Tuna mamia ya buses za kichina why azipo njingi kwenye magereji??? Kwa sababu Mchina amemwaga mafundi wabobezi wa hizi bus nchi nzima. Taasisi husika za Serikali kwenye ishu ya technogia zinatakiwa zije na mikakati madhubuti ili kusaidia taifa kuondokana na hizi shida na haibu- waje tuwasaidie kama wanataka msaada
Umeshaona Bus yoyote ya Yutong imezima Kitonga??Sikulifahamu hili la mchina kumwaga mafundi nchi nzima
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hapana boss sijawahiona.Umeshaona Bus yoyote ya Yutong imezima Kitonga??
Zinalalamikiwa nissan sio mjapan kwa ujumla wake, Toyota ni mjapan pia ila gari zake huwa zina uhakika regardless ya umri.Yaani mjapani atengeneze gari mwaka 2008 aitumie miaka 16 akuuzie leo wewe ukampelekee fundi maiko wa yombo dovya akatengeneze shoti kwa kuvuruga system ya umeme uje umlaumu mjapani kweli??
Wapo kwenye mabaa na glosaries nchi nzima wakielekeza vijana wetu jinsi ya kucheza Kamari kwenye zile mashine zinazoitwa MADUBU.Hapana boss sijawahiona.
Nahitaji kufahamu hao mafundi wamemwagwa wapi? Yaani kuna karakana za wachina mikoani kwa ajili ya hizo bus au wapo kwenye hizi gereji bubu za mitaani?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
hakuna utofauti, ni gari hiyo hiyo.Hii inatofauti kubwa na Nissan Safari?