Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kuna jikeshupe atakuja hapa kusema fulani na fulani hapaswi kuongoza nchi wakati madudu yote haya mizizi yake ni chama cha kikomunisti cha lumumba *****!Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa.
Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN DUALIS zinaongoza kwa kuwaka moto.. Hivi mamlaka halilioni hili tatizo? Ama kwa vile nyingi hazijasababisha maafa makubwa?
NISSAN anaongoza kwa model nyingi mbovu ukiachana na NISSAN safari, Nissan Caravan nk. Jiulize ni kwanini kwa asilimia 95 hakuna NISSAN (IT) Wenzetu wamegutuka nini?
Hili taifa halijaanza kuingizwa mikenge leo Miaka ile ya 80 CCM ikanunua/ikapewa magari ya Korando SsangYong View attachment 3088300 kutoka Korea kusini nadhani... Zilikufa zote! Leo ukimuona mtu ana Korando hilo ni body tuu engine imeshawekwa ya Toyota
Hatukukoma tuu miaka ya tisini Mwanzoni Jeshi letu likapata magari ya Hyundai
View attachment 3088301
SONATA toka hukohuko Korea.. Magari haya waliuziwa maofisa wa jeshi. Leo ukiiona Sonata Piga nayo picha.
Miaka ya 2000 tukaingizwa mkenge tena serikalini na serikali ya South tukaagiza Nissan Pickups (hardbody) kwa fujo sana kwenye vitengo vya serikali. Kama kuna magari yaliliingizia taifa hasara ni hayo. Baadae zikaja pickup NAVARA bei ghali kweli kweli lakini ni Mulemule.
Kuna Nissan SERENA😭nililiuza 1.5M, kuna Juke macho ya panzi, NISSAN Sunny ]
nknk.. Kwa kifupi NISSAN ni majanga
Serikali kuendelea kuruhusu kuagiza hizi gari ni uharamia na uhujumu mkubwa wa uchumi. Kuagiza gari Unahitaji dola, kuagiza vipuri unahitaji dola! Kuagiza madawa gari likiungua na kusababisha majeruhi kunahitaji dola
Kwa majanga yote hayo kwanini yasipigwe marufuku!?
TATIZO KUBWA NA WA KUTUPIWA LAWAMA ni VETA, NIT na DIT na wengineo (Serikali)!! Why?? Miaka ya 60,70 na 80 taasisi zetu za elimu zilikuwa zinaenda na Wakati. Ila ni miaka zaidi ya 20 sasa Taasisi zetu za Elimu na mamlaka za ufundi zimekuwa vipofu na avina ubunifu wa kwenda na wakati😭Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa.
Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN DUALIS zinaongoza kwa kuwaka moto.. Hivi mamlaka halilioni hili tatizo? Ama kwa vile nyingi hazijasababisha maafa makubwa?
NISSAN anaongoza kwa model nyingi mbovu ukiachana na NISSAN safari, Nissan Caravan nk. Jiulize ni kwanini kwa asilimia 95 hakuna NISSAN (IT) Wenzetu wamegutuka nini?
Hili taifa halijaanza kuingizwa mikenge leo Miaka ile ya 80 CCM ikanunua/ikapewa magari ya Korando SsangYong View attachment 3088300 kutoka Korea kusini nadhani... Zilikufa zote! Leo ukimuona mtu ana Korando hilo ni body tuu engine imeshawekwa ya Toyota
Hatukukoma tuu miaka ya tisini Mwanzoni Jeshi letu likapata magari ya Hyundai
View attachment 3088301
SONATA toka hukohuko Korea.. Magari haya waliuziwa maofisa wa jeshi. Leo ukiiona Sonata Piga nayo picha.
Miaka ya 2000 tukaingizwa mkenge tena serikalini na serikali ya South tukaagiza Nissan Pickups (hardbody) kwa fujo sana kwenye vitengo vya serikali. Kama kuna magari yaliliingizia taifa hasara ni hayo. Baadae zikaja pickup NAVARA bei ghali kweli kweli lakini ni Mulemule.
Kuna Nissan SERENA😭nililiuza 1.5M, kuna Juke macho ya panzi, NISSAN Sunny ]
nknk.. Kwa kifupi NISSAN ni majanga
Serikali kuendelea kuruhusu kuagiza hizi gari ni uharamia na uhujumu mkubwa wa uchumi. Kuagiza gari Unahitaji dola, kuagiza vipuri unahitaji dola! Kuagiza madawa gari likiungua na kusababisha majeruhi kunahitaji dola
Kwa majanga yote hayo kwanini yasipigwe marufuku!?
Yes kwa sababu VETA inazalisha mafundi wenye ujuzi wa kutengeneza gari za mika ya 1970Shida ni sisi ndio tumeishindwa
Umenikumbusha Nissan Tiida. Salon moja mbovu sana.Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa.
Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN DUALIS zinaongoza kwa kuwaka moto.. Hivi mamlaka halilioni hili tatizo? Ama kwa vile nyingi hazijasababisha maafa makubwa?
NISSAN anaongoza kwa model nyingi mbovu ukiachana na NISSAN safari, Nissan Caravan nk. Jiulize ni kwanini kwa asilimia 95 hakuna NISSAN (IT) Wenzetu wamegutuka nini?
Hili taifa halijaanza kuingizwa mikenge leo Miaka ile ya 80 CCM ikanunua/ikapewa magari ya Korando SsangYong View attachment 3088300 kutoka Korea kusini nadhani... Zilikufa zote! Leo ukimuona mtu ana Korando hilo ni body tuu engine imeshawekwa ya Toyota
Hatukukoma tuu miaka ya tisini Mwanzoni Jeshi letu likapata magari ya Hyundai
View attachment 3088301
SONATA toka hukohuko Korea.. Magari haya waliuziwa maofisa wa jeshi. Leo ukiiona Sonata Piga nayo picha.
Miaka ya 2000 tukaingizwa mkenge tena serikalini na serikali ya South tukaagiza Nissan Pickups (hardbody) kwa fujo sana kwenye vitengo vya serikali. Kama kuna magari yaliliingizia taifa hasara ni hayo. Baadae zikaja pickup NAVARA bei ghali kweli kweli lakini ni Mulemule.
Kuna Nissan SERENA😭nililiuza 1.5M, kuna Juke macho ya panzi, NISSAN Sunny ]
nknk.. Kwa kifupi NISSAN ni majanga
Serikali kuendelea kuruhusu kuagiza hizi gari ni uharamia na uhujumu mkubwa wa uchumi. Kuagiza gari Unahitaji dola, kuagiza vipuri unahitaji dola! Kuagiza madawa gari likiungua na kusababisha majeruhi kunahitaji dola
Kwa majanga yote hayo kwanini yasipigwe marufuku!?
BMW ni miongoni mwa gari ambazo Mifumo yake ya umeme na kielectronics ipo so advance- ikiona kuna short circuit aiwaki hivyo kuzuia milipuko- mwaka jana tulipata tatizo na BMW x5 , tukiwa tunaenda nalo Mwanza, kuna fundi baada ya kushindwa kujua jinsi ya kusolve tatizo akaloop wire 🤣. Tulitumia siku tatu kufika Mwanza na hapo Dodoma, Singida na Tabora kupitia gereji kadhaaSi ndio hizi Sonata!?😀View attachment 3088302
Mnyama BM mpaka umpindue ama alipuke tu mwenyewe ujue umefanya Kazi kubwa mno.. Lakini DUALIS chap kwa haraka kama kumsukuma tena🤣
Hii ni shida kubwa.Nissan is not for everyone.
Ila CVT yao ni mbovu kisenge usinunue nissan CVT
Hivi Nissan Fuga naye ana CVT?Nissan is not for everyone.
Ila CVT yao ni mbovu kisenge usinunue nissan CVT
Hapo unajifariji na kisahani cha 260 tuHapo kwa BMW ngoja ninyamaze maana mpaka sasa ni majanga. Ila tatizo kubwa ni yale kutoka Singapore, ni majanga matupu.View attachment 3088507
Hapana. Ana 5AT RE5R05AHivi Nissan Fuga naye ana CVT?
Kama gari mbovu hicho kisahani huwezi kukifuta.Hapo unajifariji na kisahani cha 260 tu
Ni mamlaka za ukaguzi si utengenezaji wa spare. Kaxi hiyo ni ya viwanda (kama vipo)Tunashukiru kwa ajira zinazotolewa na hizo mamlaka za ukaguzi. Hivi unakagua kitu ambacho hata spare moja huwezi kutengeneza si ubabaishaji tu. HIzo mamlaka hazina tofauti na takukuru. Anyway wako bize na ishu za uchaguzi labda tusubirie majibu 2026
Unabaki kusema,hii ina 260,na wala hufikiKama gari mbovu hicho kisahani huwezi kukifuta.
Aisee huyo bwana kwenye profile picha yako anaimbaga nini ana mwanya utafikiri ni tundu la kuingizia funguo kwenye kitassNissan dualis aka Jiko la gesi 😄🔥
swali kwanini halikuungua huko lilikotoka na limetembe km200000. na hilo kava lije iikuungulie wewe abdala wa maji matitu.Mkuu Dualis kuungua wala hakuna uhusiano wowote na umeme bali kuna cover ambalo limewekwa chini ya Engine kwa ajili ya kuzuia engine isipate tope. Lile cover likikauka huwa linadondokea kwenye excose na kusababisha gari kuwaka. Hakuna Dualis iliyoungua huku chanzo kikuu kikiwa ni umeme. Ndo maana unaona siku hizi rate ya kuungua imeshuka kwa sababu gari zinakuja zikiwa zimewekewa cover la chuma ili kuzuia cover kudondokea kwenye excose. Magari mengine siku hizi mafundi wanayatoa yale macover. Binafsi natumia Qashqai na sijawahi pata shida yoyote