Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda na bichwa lakoNa mabwabwa pia.
ni sawa ww unaona unachokiona uko mtaani gri linawaka moto lakini je,chanzo cha gari kuwaka moto unakijua? au unafikiri gari liwake moto tu bila chanzo ndio huyo mwenzio anakwambia nissan hazitaki kuchezewa mfumo wake wa umeme kwa kufunga adroid radio,taa za booster na yote yanayohusu wiring ya umeme mafundi wengi wanakata na kuunga nyaya sehemu sio sahihi lazima gari ilete shortsikia unachoambiwa wewe sisi huku mtaani tunaona anachosema Mshana Jr
Hiyo siyo sababu kwa sababu brand zote za magari zinachezewa kama unavyosema mbona haziungui kama dualis?Sababu kubwa ya dualis kuwaka ni after market asilimia kubwa sana unakuta zimechezewa mifumo ya umeme kuweka redio za android au mataa ya kudamshi damshi hizi gari iko wazi hazitaki mbwembwe kama ni mpenda mbwembwe nunua tu Doyoda sasa tukiachana na dualis kuna hizi mazda CX5 nazo ni gari mbovu kishenzi
Uko sahihi.Yaani mjapani atengeneze gari mwaka 2008 aitumie miaka 16 akuuzie leo wewe ukampelekee fundi maiko wa yombo dovya akatengeneze shoti kwa kuvuruga system ya umeme uje umlaumu mjapani kweli??
Sawa taasisi ipi wana Scania?
MotoDualis a.k.a mtungi wa oryx
Sanahani sijawahi kumiliki au kununua au kutumia gari inaitwa NISSAN DUALIS.. Ila mimi ni mdau kwenye hiyo sekta na nilichoandika ndio uhalisia kwa groundUnasema nyingi zimeweka moto je mliagiza mpya je mmenunua kwa wakala wa nissani au used japan au singapore
Je zikifika mnaweka spair sahihi
La mwisho nunua gari jipya kwa nissani uke kulalamika watakuja jipya nissani wenyewe...... sasa umenunua magari ya kajamba nani beforwad unalalamika mkuu
Huko behind ninini Hicho🥺🤣Unyama sana hii chuma..😊

Mimi ni mdau mkubwa wa magari na nimekaa garage miaka 10 na usheeUko sahihi.
Mleta mada afanye utafiti kwa waliounguluwa na hayo magari atakuta mfumo wa umeme uliguswaa na mafundi wetu wasio na uelewa kwa kubadilisha radio ama kuweka alarm system.
Ungejiuliza gari limetembea zaidi ya kilomita elfu 50 hadi laki 2 halijawahi kuingua lije kuungua sasa.
Nadhani ndio uelewe kua shida ni mafundi, sio gari dualis ni tofauti na pro box,waongeze ujuzi kwenye hayo magari,Tumia akili kiduchu, bongo asilimia kubwa tunatumia used, kina dualis, patrol, ist, outlander, alphard na ndugu zao wengine, wote wametoka japan hawajaungua, lakini kuja bongo mmoja anaungua, na ukizingatia mafundi wa dualis ndio wa alphard,probox ndio wa patrol na gari nyinginezo..
Mazda cx5 ubovu wake ni nini haswa?Sababu kubwa ya dualis kuwaka ni after market asilimia kubwa sana unakuta zimechezewa mifumo ya umeme kuweka redio za android au mataa ya kudamshi damshi hizi gari iko wazi hazitaki mbwembwe kama ni mpenda mbwembwe nunua tu Doyoda sasa tukiachana na dualis kuna hizi mazda CX5 nazo ni gari mbovu kishenzi
Na zinatengenezwa na hao hao wajapaniView attachment 3088298
Nyingi zimewaka moto na upya wake.. Lakini mbona kuna Toyota na Suzuki za miaka na miaka zinatengenezwa chini ya maembe bado zipo zinadunda?
Mshana binafsi nikubali mno mada nyingi unazo toa ushauri uwa Ume fanya research kwa unacho kiweka hapa jamvini:rushwa.
Ubovu wa Mazda CX5 upo kwenye nn hembu fafanua bro maana ndizo zimeongoza kimauzo masoko ya Ulaya na MarekaniSababu kubwa ya dualis kuwaka ni after market asilimia kubwa sana unakuta zimechezewa mifumo ya umeme kuweka redio za android au mataa ya kudamshi damshi hizi gari iko wazi hazitaki mbwembwe kama ni mpenda mbwembwe nunua tu Doyoda sasa tukiachana na dualis kuna hizi mazda CX5 nazo ni gari mbovu kishenzi
Sawa taasisi ipi wana Scania?
MotoDualis a.k.a mtungi wa oryx
Sanahani sijawahi kumiliki au kununua au kutumia gari inaitwa NISSAN DUALIS.. Ila mimi ni mdau kwenye hiyo sekta na nilichoandika ndio uhalisia kwa groundUnasema nyingi zimeweka moto je mliagiza mpya je mmenunua kwa wakala wa nissani au used japan au singapore
Je zikifika mnaweka spair sahihi
La mwisho nunua gari jipya kwa nissani uke kulalamika watakuja jipya nissani wenyewe...... sasa umenunua magari ya kajamba nani beforwad unalalamika mkuu
Huko behind ninini Hicho🥺🤣Unyama sana hii chuma..😊
Mimi ni mdau mkubwa wa nagatiUko sahihi.
Mleta mada afanye utafiti kwa waliounguluwa na hayo magari atakuta mfumo wa umeme uliguswaa na mafundi wetu wasio na uelewa kwa kubadilisha radio ama kuweka alarm system.
Ungejiuliza gari limetembea zaidi ya kilomita elfu 50 hadi laki 2 halijawahi kuingua lije kuungua sasa.
Tulikuwa tushaingizwa cha kike kuhusu umemeMkuu Dualis kuungua wala hakuna uhusiano wowote na umeme bali kuna cover ambalo limewekwa chini ya Engine kwa ajili ya kuzuia engine isipate tope. Lile cover likikauka huwa linadondokea kwenye excose na kusababisha gari kuwaka. Hakuna Dualis iliyoungua huku chanzo kikuu kikiwa ni umeme. Ndo maana unaona siku hizi rate ya kuungua imeshuka kwa sababu gari zinakuja zikiwa zimewekewa cover la chuma ili kuzuia cover kudondokea kwenye excose. Magari mengine siku hizi mafundi wanayatoa yale macover. Binafsi natumia Qashqai na sijawahi pata shida yoyote
Yalivyoingia tu nililipenda
Christmas lights. BMW iwe ya Ujerumani, China, Japan, Singapore, UK, Thailand, au kokote ina matatizo yaleyale.Hapo kwa BMW ngoja ninyamaze maana mpaka sasa ni majanga. Ila tatizo kubwa ni yale kutoka Singapore, ni majanga matupu.View attachment 3088507
Mdau mwingine hapo anasema ni insulating cover kwenye engine bay, wengine mnasema ni umeme kuchezewa. Ukweli ni upi?Uko sahihi.
Mleta mada afanye utafiti kwa waliounguluwa na hayo magari atakuta mfumo wa umeme uliguswaa na mafundi wetu wasio na uelewa kwa kubadilisha radio ama kuweka alarm system.
Ungejiuliza gari limetembea zaidi ya kilomita elfu 50 hadi laki 2 halijawahi kuingua lije kuungua sasa.
Nazungumzia second hand siyo brand newChristmas lights. BMW iwe ya Ujerumani, China, Japan, Singapore, UK, Thailand, au kokote ina matatizo yaleyale.