Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #21
Si ndio hizi Sonata!?😀View attachment 3088302Mshana Jr umesahau na jeshi la polisi waliingizwa chaka kununua Hyundai Saloon za polisi vilijifia mapema sana vile vigari
Mnyama BM mpaka umpindue ama alipuke tu mwenyewe ujue umefanya Kazi kubwa mno.. Lakini DUALIS chap kwa haraka kama kumsukuma tena🤣Shida sio Nissan, tatizo ni uwezo wetu mdogo katika maintenance ya vyombo vya moto hasa mafundi. Ni kweli kuna cases kadhaa kwa Nissan ku-malfunction na units kadhaa kurudishwa kiwandani, ila matatizo hayo hata kwa baadhi ya models za toyota yalishatokea.
Kuna ndinga hazitaki mbwembwe, mbona nasikia hata BMW haitaki mbwembwe.
Engine nyanya halafu haina nguvuJuke gari kali sana