Nissan Dualis zitajiondoa zenyewe sokoni

Najua unajaribu kutetea kiberiti chako, tht will be my last advice to you….

Ukiwa unaendesha dualis usibebe familia. Ungua peke yako
 
Kumuelimisha chizi unajipa kazi
 
Tuthibitishie kuwa gari unayoiona kwny picha ilifungwa android au kuungwa ungwa wire.
 
Hakikisha fire extinguisher yako ipo in place and up to date
 
Ww ni mjinga… mbona toyota tunanunua 20 years back from manufacturing na hatuexperience hayo matatizo?

Nissan kimeo
Mjinga mwenyewe, tena mpuuzi. Think about muda wa matumizi tangu kutengenezwa hadi kuja kuungulia yombo, mafundi maiko hawajaujulia vzr mfumo wa umeme wa dualis, mbona hazijaanza kuungulia huko Japani miaka yote??
 
Mjinga mwenyewe, tena mpuuzi. Think about muda wa matumizi tangu kutengenezwa hadi kuja kuungulia yombo, mafundi maiko hawajaujulia vzr mfumo wa umeme wa dualis, mbona hazijaanza kuungulia huko Japani miaka yote??
Ww inaonyesha hujawai kumiliki gari…..

So ucnipigie kelele…. Km haina shida why ilirudshwa kiwandani kufanyiwa marekebisho y mfumo wa umeme? Imekuwa recalled 2 time kuanzia 2009 to 2012…. Au smartphones huna?
 
Sikulifahamu hili la mchina kumwaga mafundi nchi nzima

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Yaani mjapani atengeneze gari mwaka 2008 aitumie miaka 16 akuuzie leo wewe ukampelekee fundi maiko wa yombo dovya akatengeneze shoti kwa kuvuruga system ya umeme uje umlaumu mjapani kweli??
Zinalalamikiwa nissan sio mjapan kwa ujumla wake, Toyota ni mjapan pia ila gari zake huwa zina uhakika regardless ya umri.
 
Hapana boss sijawahiona.
Nahitaji kufahamu hao mafundi wamemwagwa wapi? Yaani kuna karakana za wachina mikoani kwa ajili ya hizo bus au wapo kwenye hizi gereji bubu za mitaani?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Wapo kwenye mabaa na glosaries nchi nzima wakielekeza vijana wetu jinsi ya kucheza Kamari kwenye zile mashine zinazoitwa MADUBU.
 
Duals mara nyingi huu ungua kwasabab kule kwenye sehem ya exhaust mandord kuna kama linguo hiv kwa juu kuzuia joto lisipige directly kwenye ac pipes, so lile linguo hua linashuka kwenye exhaust manford kama likipigwa pressure wakat unaogsha gari, kwahyo likishuka likilalia pale kwenye exhaust manford linapata joto na linaanza kuungua na moto unaaza,,,,, kwenye inshu ya vitu after market ambavyo ni fake inaweza pia ikawasha gari moto sio Nissan pekee bali kila gari,,,, juz kati mwezi huu **** BMWX1 iliwaka motokwa tatizo la wireling mbovu, so jitahid kwenye kila maungio weka fuse,,,,, kuna watu wana duals no B mpaka leo wanazo,,, kila kitu ni matunzo na elimu pia,,, kwahyo ukitaka kuzuia moto uongeze pin kwenye lile li nguo au ulitoe kabisa hapo issue inakua sorved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…