Darkish
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 326
- 364
Kitu cha kwanza ni kufikiri kama Mchina. Anachofanya Mchina ni kuangalia kila fiction science movie kutoka kwa Wamarekani (zamani) halafu anazifanyia kazi katika maisha halisi, hiyo inaitwa trial and error (a problem-solving method that involves trying different solutions until one works). Unatakiwe ujue kuwa kila unachokiona kwenye science fiction movie kama future cars n.k. basi ujue hiyo concept iko maabara inafanyiwa kazi na Wamarekani. Kwahiyo Wachina wanachukua wazo la Wamarekani na kulifanyia kazi kabla kitu kakijatoka maabara. Mwanzo walianza kuiga (copy and paste) sasa hivi wanatumia wasomi wao waliosoma Marekani na nchi zingine kufanya research and development (R&D) yao wenyewe.
So judge for yourself.
So judge for yourself.