Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

Kwasasa ukiikataa ku apply tekinolojia mpya,outomaticaly unatupwa nje ya soko,na unaweza toweka kabisaaa,mfano ni kutoweka kwa NOKIA sokoni,.kwakuwa walidharau touch screen.
Umesema vyema ndio maana makampuni makubwa yanawekeza sana kwenye R&D
 
Back
Top Bottom