KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
kwa kweli bei ni poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali. Huyo Bi Zainab, mimi na yeye ni dam dam.
She is an amazing woman ana amazing product, umeiona? She is a very hard working woman, she has all my respect and I love he so much.
Bi Zainab ni mfano wa kuigwa kwa akina mama, kwa age yake na jinsi anavyojituma, she is simply amazing.
I LOVE HER SO MUCH?.
Huwa unapenda sana kukosoa wenzako!!
Tatizo lako ni elimu duni.
Hahaaa, mwenzio anakulavu, hayo mengine utampeleka "twisheni".
Achaga urongo!! kwani hapo ilipo imeshushwa kwa ndege? tena kuna mdau kasema ni Buguruni kabisa!
Nimekupenda bure kwa jinsi ulivyojibu kiustaarabu, sema natumia simu ila ningekugongea like!! Hongera kwa busara! nilitaka upanic kidogo kama bibi F*
Hata kilichoandikwa hukielewi.
Punguani wahed.
Wewe Bibi hata kama una elimu basi haijakusaidia, kwa taarifa yako nina drive gari kali kuliko hii inayouzwa kama huelewi na sina gari moja.Tatizo lako ni elimu duni.
Wewe Bibi hata kama una elimu basi haijakusaidia, kwa taarifa yako nina drive gari kali kuliko hii inayouzwa kama huelewi na sina gari moja.
Na ukitaka league nipo free kukufuata popote ulipo na chakula nikununulie punguani mkubwa we!!
= courtesy FaizaFoxy
Wewe huna hata baiskeli. Wacha porojo. Mwenye gari anaongea kijinga hivyo?
Punguani wahed.
Wewe ajuza angalia hata points unazojenga halafu unajinasibu kwamba wewe ni msomi? Daaah, no wonder we have this kind of nation!! Nimekuambia if u need, nikufuate popote ulipo (kama upo Tanzania) ujue natembelea usafiri gani taahira wewe!
Mnfssssss Hela ya ugoro inakushinda utanunua gari weye??
Acha kujitutumua fukara tu wewe....
kwa lusungo?, labda kama ulianza kununua ukiwa tumboni!
Wewe ajuza angalia hata points unazojenga halafu unajinasibu kwamba wewe ni msomi? Daaah, no wonder we have this kind of nation!! Nimekuambia if u need, nikufuate popote ulipo (kama upo Tanzania) ujue natembelea usafiri gani taahira wewe!
Teh Teh teh ana sura ya mbwa koko!Kitoto kidogo kwangu hicho chenye sura ya mbwa.
Labda kwako ndiyo ulikuwa utumboni kwa mamako.
Leo nimecheka sana Ahahahaha.We Shangazi huna habari Huyo bi lusungo mamake kamzaa sisi ndio tumemtoa pale Mirembe tukampeleka Hospitali mwaka 1990?
Toto la juzi tu hili. Usiogope kuona hayo makalio yake makubwa. Huo ni utapiamlo umekosea Njia ukahamia huko Nyuma.
Km amekudanganya ye mkubwa mtazame huko chini. Makalio yake bado yana Vinyweleo vya utotoni.
Teh teh teh teh
Nissan patrol, Manual Gear, Diesel, TD - F intercooler, engine RD 28 Model. Year 1999
Leather seats, very good condition.
Bei 23M Only.
Very Good Condition. Haijatumika Tanzania.
Call Mzee Abdul 0756803528.
Must Go. Bei Poa Kabisa.
View attachment 269660View attachment 269661View attachment 269662View attachment 269663View attachment 269664View attachment 269707View attachment 269708View attachment 269709View attachment 269710
Niuzie hiyo gari itanifaa sana huku mikoani
Mnfssssss Hela ya ugoro inakushinda utanunua gari weye??
Acha kujitutumua fukara tu wewe....