Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

Nissan ni way too high league! Wangeingia uchina hapo kwenye viwanda vya electric cars wakawapa fursa ya kuja kuwekeza walau kwa mchina angeweza fyatua gari zenye ubora wa kuendana na uchumi wetu! Hapo china kuna electric cars za mpaka dollar 5000 tu!

Hizo wengi tungeweza afford maana ndio gari nyingi zilizopo barabarani leo zina range kwenye bei hio! Walau ingesaidia kupunguza Air Pollution! The future is electric.
 
Rwanda wana assembly plant ya some Chinese model of Volkswagen. Haya magari ni expensive to maintain na siyo rafiki kwa mazingira ya Afrika. Sijui wanayauza wapi maana ni bei mbaya pia yakiwa mapya.
 
Rwanda wana assembly plant ya Volkswagen, haya magari ni expensive to maintain na siyo rafiki kwa mazingira ya Afrika. Sijui wanayauza wapi maana ni bei mbaya pia yakiwa mapya.
Hata hao Nissan usitegemee wakiunda hapa ndio yatauzwa million 15!
Bei zinaendana na MSRP ya kampuni gari ya $55,000 itauzwa the same price kama inavyouzwa Japan😅
 
Ni mapema kuzungumzia hilo maana hata Honda walisema wataanzisha kiwanda cha pikipiki kikaota mbawa

Tusubiri tuone ikitokea ni Vizuri
 
Ni mapema kuzungumzia hilo maana hata Honda walisema wataanzisha kiwanda cha pikipiki kikaota mbawa

Tusubiri tuone ikitokea ni Vizuri
Tatizo la nchi yetu ni Urasimu, yanakuja mawazo ya kisasa kwa watu wenye muono wa kizamani....
 
Sijaelewa.Mbona hiyo picha inafanana na ile aliyopigwa kwenye mkutano wa mazingira?Jamani hapo kuna mjapani anayeitwa Kumamoto hapo,Loo weshatufanya mazuzu kama wao.Hamna kitu bro
 
Sio air pollution tu,Waarabu wangebaki na mafuta yao tunayopandishiwa bei kila kukicha.Lakini je chama changu mama kitakubali kuyaleta haya ya umeme (Wakose tozo ya ujenzi wa barabara,hivi tangu tozo ianze hapo wamepata ngapi mbona hawasemi) kama ya gesi yameshindikana kwa kupandisha bei ya gesi tena ikawa ghali kuliko mafuta.Je kutakuwepo na umeme wa kuyaendesha ili hali mabwawa hayana maji? Ah Tanzania yangu kila kitu taabu tu.SEMINA ELEKEZI ZIMEPAMBA MOTO SASA.KULE ARUSHA LEO ILIKUWEPO YA MAPROQUREMENT OFFICER, wengi kama utitiri.Tafakari
 
Watu wanavuna per diem za Xmas😅
 
Hahahahah haya ya umeme si tutakuwa tunachajisha kama simu😅 overnight kimbembe umeme ukiwa hamna😅
 
Tatizo la nchi yetu ni Urasimu, yanakuja mawazo ya kisasa kwa watu wenye muono wa kizamani....
Eeh kuna watu wao hawataki mabadiliko kwa sababu kwao ni kama mafuriko! Yatawazoa 😅
 
Daaah, Haya mambo hatukuyafikiria kabisa, Heko Mama Samia
 
Makampuni sasa yataanza kutengeneza gari zinazotumia umeme peke yake, sasa gari mpya za umeme zitakazoingizwa sokoni na hao nissan nani ataweza kumudu kuzinunua, au zipo model zitakazotengenezwa kwa ajili ya wanyonge.......hapo bado umeme wa kuchajia, full majanga.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…