Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

Teh teh teh....kama kweli vile
 
Mzee naona leo umekuwa muungwana kwa nchi yako,
Mi always huwa ni muungwana ila sio kwenye mambo ya kipuuzi😎!!!

Nimetoa wazo tu wangeachana na hao Nissan kama lengo ni magari walete assembling plant ya electric cars toka china. Kiwanda kitakuwa rahisi ku sustain sababu gari zitakuwa affordable kwa watu wa hali ya chini!

Nissan hawawezi toboa sababu wanunuaji wa gari zao ni wachache na gari ikiuzwa more than $33,000 still itakuwa ghali tu! Sababu ukiweka na kodi za kinyonyaji hilo gari huenda likawa almost 90M
 
Moja ya sherti watasema serikali isitumie magari aina nyingine zaidi ya Nissan
 
Sio Tanzania ndio wanaleta kiwanda mkuu,

Kiwanda nicha Nissan wenye,


Wanakuja kuwekeza wao,

Soko watakuwa wamelirafiti wao,


Serikali has nothing to do with it
 
Walipwa Tshs ngapi ?

Fuatilia haya mambo Kampuni kubwa nyingi ili kukaa nchini mwako unaweza kujikuta wewe ndio unawalipa ruzuku (refer Rover in UK) au Amazon kabla haijajenga warehouse nchini kwako ni vingapi wanapewa....

Hata kama usipowapa siku wakija kutokana na ajira wanazotoa baada ya miaka wanaweza kurudi mezani ili mpitie terms and conditions unless otherwise wanasepa

In short mapatano haya huwezi kuyaangalia juu, juu tu bila kupitia vipengele huwezi kujua kama umepata au umepatikana
 
Sio Tanzania ndio wanaleta kiwanda mkuu,

Kiwanda nicha Nissan wenye,


Wanakuja kuwekeza wao,

Soko watakuwa wamelirafiti wao,


Serikali has nothing to do with it
Basi niwatakie kil la heri
 
Fuel cars zitakuwa phased out soon hence kampuni zote zitakuwa zinatengeneza EV za battery.

Na Nissan wanakwenda extra mile na kuja na EV zinazotumia Solid state batteries ambazo gharama yake ni ya chini na zinachaji haraka chaji inakaa muda mrefu.

Kumbuka katika EV car 30% ya costs ni
battery peke yake kama gari ni 100 millions battery 30 millions
 
Kama kweli sisi makada tunasema hapa Kazi tu
 
Enzi za jk nilisikiaga Honda wangetengeneza kiwanda hapa bongo cha pikipiki kipindi hicho nikiwa form 2 lkn nakumbuka sarakasi hizo na hizi za Nissan nazo zitapita.
 
Enzi za jk nilisikiaga Honda wangetengeneza kiwanda hapa bongo cha pikipiki kipindi hicho nikiwa form 2 lkn nakumbuka sarakasi hizo na hizi za Nissan nazo zitapita.
Samia sio JK MKUU
 
Enzi za jk nilisikiaga Honda wangetengeneza kiwanda hapa bongo cha pikipiki kipindi hicho nikiwa form 2 lkn nakumbuka sarakasi hizo na hizi za Nissan nazo zitapita.
Leo kiwanda hicho kipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…