Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Jamaa wameona dualis zilivyojaa mjini
Wamenogewa wanataka wajenge na kiwanda kabisa 😀😀😀
 
Mkuu
 
Rais Samia aanza kudungua mafisadi,Nakushauri acha kucheza na fedha za Umma,
 
Daaah hati NISSAN wamekubali kweli Samia kiboko,
 
Kwani kile kiwanda cha Bajaj enzi za magu kimeishia wapi
 
Nilitamani sana Tanzania yangu leo hii iwe na uwezo wa kutengeneza walau Pikipiki na Bajaji. hizi zingetumika ndani ya nchi kwa vijana wetu na kwa majirani - bado sijajua tunakosa nini hasa, Utashi, mtaji, utaalamu ama usimamizi wa sera ya viwanda kama nayo ipo.

Taifa lenye miaka 60 ni taifa kongwe kiasi kwa umri.
 
Mama aluta continue
 
SCANIA pia walishajenga kiwanda cha assembly Tanzania kikafa. Uchumi wetu hauwezi ku- support viwanda vipya vya magari. Tufikiria small agriculture machines and value addition agro machinery kuliko magari kama NISSAN
Walijenga mwaka gani? Wapi?
 
Sawa sisi ni wazee wa kusubiria

Ova
 
Naomba pia waombe wenye viwanda agro machines zote plus irrigations systems waje s Tanzania pia hapo tutaenda
 
Kaziindelee Tanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…