M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Unaishi Chato?Spea kisanga, juzi kati hapa x trail yangu ilipasua rejeta, nimekuja kupata spare after 2 weeks
Asante mkuu. Maana nilikuwa naangalia bei ya Rav 4 imechangamka haswa 4000usd (cif), tra 8.8m mazagazaga (bandarini+agent 1.5m=total 18mSpare zipo available ila bei kubwa tofauti na Toyota, hata hivyo ukifunga unasahau!
Ulaji wa Mafuta utainjoi sana!
Nilipokuwa nahama toka Toyota kwenda Nissan watu walinitisha sana, mara spares adimu, mara gari zinasumbua etc; lakini kwa sasa sijui kama nitarudi Toyota, labda niwe nazo zote!
Nimetumia Rav 4 pia ni gari nzuri sana! Lakini ikiwa nina machaguo mawili, nitachukua Nissan X trail, ipo juu toka barabarani, ina nafasi kubwa ndani na ukiipa service stahiki hutajuta!Asante mkuu. Maana nilikuwa naangalia bei ya Rav 4 imechangamka haswa 4000usd (cif), tra 8.8m mazagazaga (bandarini+agent 1.5m=total 18m
Mkuu shukrani kwa testimony hii. Toka 2000 means gari unayo kwa miaka 18 sasa! Daah! Naona naangukia kwa xtrailNimenunua hii gari toka mwaka 2000 na sijajuta. Limekula kilometa za kutosha lkn bado linadai. Kutoka Dar kwenda Dodoma natumia lita 35 mpaka 40 kama spidi itakuwa wastani, yaani isizidi 120 km/h
Bujibuji ukitaja neno Nissan tu ni sababu tosha kupigwa kwenye spea.Kama huna experience Na Nissan Xtrail usicomment maneno ya uongo, spare ziko nyingi sana mtaa wa Lindi, Shaurimoyo Na Dar es Salaam yote. Tuache upotoshaji
Nimenunuaa last year ranging hiohioWakuu bado sijafanya maamuzi gari gani ninunue mpaka sasa ila nimekutana na Xtrail ya 2007....66000kms, 1990cc je spea na ulaji wa mafuta upoje? Bei 3000usd cif tra 6.9m tsh...mazagazaga mengine ni kama 1.5m= total 15m.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Unaishi Chato?
Hivi mkoani ni wapi????Bujibuji ukitaja neno Nissan tu ni sababu tosha kupigwa kwenye spea.
Zipo spea sasa hivi ambazo sio original, lakini wanauza kwa bei ya original.
Lakini ukiwa na Nissan mkoani, mpaka upate hiyo spea na fundi utatamani kuwa na Passo.
Boeing 747 ni bora ungaekaa kimya. Ukiwa na Nissan Arusha ukalalamika spea utakuwa mvivu wa kufikiri. Nissan Note zipo tele Nairobi na ndiyo maana hupati shida. No sawa sawa na familia kudai haina watoto wakati wewe unao. Usivimbirwe Mkuu.Hivi mkoani ni wapi????
Mbona me nina Nissan note nipo Arusha sijawahi kujuta spea??
Acheni kupotosha watu...kama mtu ana heza zake anunue kitu roho inapenda..
Watanzania hatupendi kujiongeza...eti unakuta mtu anaagiza gari la mamilioni halafu anashindwa kuagiza spea ya laki na nusu
Plug tu za Nissan Note ni pasua kichwa. Plug tu. Utapigwa mpaka 180,000 kwa plug nne.Hivi mkoani ni wapi????
Mbona me nina Nissan note nipo Arusha sijawahi kujuta spea??
Acheni kupotosha watu...kama mtu ana heza zake anunue kitu roho inapenda..
Watanzania hatupendi kujiongeza...eti unakuta mtu anaagiza gari la mamilioni halafu anashindwa kuagiza spea ya laki na nusu
Acha uongo..Plug tu za Nissan Note ni pasua kichwa. Plug tu. Utapigwa mpaka 180,000 kwa plug nne.
Ukitaka kumwaga oil ya gear box oil lazima uwe na 190,000 au zaidi. Hizi sio hela ndogo.
Coil moja ya plug sio chini ya elfu 70.