Nissan Xtrail: mafuta, spea?

Nissan Xtrail: mafuta, spea?

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Wakuu bado sijafanya maamuzi gari gani ninunue mpaka sasa ila nimekutana na Xtrail ya 2007....66000kms, 1990cc je spea na ulaji wa mafuta upoje? Bei 3000usd cif tra 6.9m tsh...mazagazaga mengine ni kama 1.5m= total 15m.
 
Attachments

  • BF816277_d80e05.jpg
    BF816277_d80e05.jpg
    31.4 KB · Views: 184
  • BF816277_6b312c.jpg
    BF816277_6b312c.jpg
    30 KB · Views: 187
Spare zipo available ila bei kubwa tofauti na Toyota, hata hivyo ukifunga unasahau!

Ulaji wa Mafuta utainjoi sana!

Nilipokuwa nahama toka Toyota kwenda Nissan watu walinitisha sana, mara spares adimu, mara gari zinasumbua etc; lakini kwa sasa sijui kama nitarudi Toyota, labda niwe nazo zote!
 
Asante mkuu. Maana nilikuwa naangalia bei ya Rav 4 imechangamka haswa 4000usd (cif), tra 8.8m mazagazaga (bandarini+agent 1.5m=total 18m
 
Asante mkuu. Maana nilikuwa naangalia bei ya Rav 4 imechangamka haswa 4000usd (cif), tra 8.8m mazagazaga (bandarini+agent 1.5m=total 18m
Nimetumia Rav 4 pia ni gari nzuri sana! Lakini ikiwa nina machaguo mawili, nitachukua Nissan X trail, ipo juu toka barabarani, ina nafasi kubwa ndani na ukiipa service stahiki hutajuta!
 
Nimenunua hii gari toka mwaka 2000 na sijajuta. Limekula kilometa za kutosha lkn bado linadai. Kutoka Dar kwenda Dodoma natumia lita 35 mpaka 40 kama spidi itakuwa wastani, yaani isizidi 120 km/h
Mkuu shukrani kwa testimony hii. Toka 2000 means gari unayo kwa miaka 18 sasa! Daah! Naona naangukia kwa xtrail
 
Kama huna experience Na Nissan Xtrail usicomment maneno ya uongo, spare ziko nyingi sana mtaa wa Lindi, Shaurimoyo Na Dar es Salaam yote. Tuache upotoshaji
Bujibuji ukitaja neno Nissan tu ni sababu tosha kupigwa kwenye spea.

Zipo spea sasa hivi ambazo sio original, lakini wanauza kwa bei ya original.

Lakini ukiwa na Nissan mkoani, mpaka upate hiyo spea na fundi utatamani kuwa na Passo.
 
Wakuu bado sijafanya maamuzi gari gani ninunue mpaka sasa ila nimekutana na Xtrail ya 2007....66000kms, 1990cc je spea na ulaji wa mafuta upoje? Bei 3000usd cif tra 6.9m tsh...mazagazaga mengine ni kama 1.5m= total 15m.
Nimenunuaa last year ranging hiohio
Hutajutaa kununua

Mafuta
 
Bujibuji ukitaja neno Nissan tu ni sababu tosha kupigwa kwenye spea.

Zipo spea sasa hivi ambazo sio original, lakini wanauza kwa bei ya original.

Lakini ukiwa na Nissan mkoani, mpaka upate hiyo spea na fundi utatamani kuwa na Passo.
Hivi mkoani ni wapi????
Mbona me nina Nissan note nipo Arusha sijawahi kujuta spea??

Acheni kupotosha watu...kama mtu ana heza zake anunue kitu roho inapenda..
Watanzania hatupendi kujiongeza...eti unakuta mtu anaagiza gari la mamilioni halafu anashindwa kuagiza spea ya laki na nusu
 
Boeing 747 ni bora ungaekaa kimya. Ukiwa na Nissan Arusha ukalalamika spea utakuwa mvivu wa kufikiri. Nissan Note zipo tele Nairobi na ndiyo maana hupati shida. No sawa sawa na familia kudai haina watoto wakati wewe unao. Usivimbirwe Mkuu.

Mkoani ni neno pana na kama wewe unajiona haupo mkoani tulia na Nissan Note.

Mkoani kwangu ni Kigoma, Tabora, Mtwara, Singida na kadhalika. Hebu tuelekeze maduka katika hayo maeneo.
 
Hivi mkoani ni wapi????
Mbona me nina Nissan note nipo Arusha sijawahi kujuta spea??

Acheni kupotosha watu...kama mtu ana heza zake anunue kitu roho inapenda..
Watanzania hatupendi kujiongeza...eti unakuta mtu anaagiza gari la mamilioni halafu anashindwa kuagiza spea ya laki na nusu
Plug tu za Nissan Note ni pasua kichwa. Plug tu. Utapigwa mpaka 180,000 kwa plug nne.

Ukitaka kumwaga oil ya gear box oil lazima uwe na 190,000 au zaidi. Hizi sio hela ndogo.

Coil moja ya plug sio chini ya elfu 70.
 
Acha uongo..
Ninamiliki hii nisswn mwaka wa nne huu...plug nne original kwa hapa arusha ni 140000...hii gari nimewahi kubadili plug mara moja tu kwa hiyo nlmiaka minne...angelikuwa ni mtu wa toyota anafunga plug za buku tano tano angeshabadili mara ngapi???

Oil ya gia boksi ya note ni NS 2 cvt kwa arusha ni 140000 na ukiweka ni mkataba wa kuanzia KM 10000.
Kumbukq hizi ni bei za arusha..ina maanq Dar bei itakuwa chininzaidi na spea zote hizi ni original.

Coil ya Nissan note ni ghali kwa sababu cylinder ina coil yake na nilichogundua watu wenye magari yenye coil kama hizi hatuchekani bei...iwe toyota suzuki ..nissan au kampuni zinginezo...

Hatabspea original zq toyota ni ghala kama hizo za nissan..
ndiyo maana watu wenye nissan ukifunga spea fundi analia coz anajua kurudi kwake si chini ya miaka miwili..
narudia Nissan hii nina miaka nayo minne plug nimebadili mara moja tu...
Muulize mtu wa corolla kama kwenye buti la gari hana kibegi kilichojaa maplug
 
Back
Top Bottom