From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Mwanaume huwa hamwiti mwanaume mwenzie mwongo. Hizo lugha ni za kina Dada. Usilazimishe ya Arusha yawe ya huku Kigoma.Acha uongo..
Ninamiliki hii nisswn mwaka wa nne huu...plug nne original kwa hapa arusha ni 140000...hii gari nimewahi kubadili plug mara moja tu kwa hiyo nlmiaka minne...angelikuwa ni mtu wa toyota anafunga plug za buku tano tano angeshabadili mara ngapi???
Oil ya gia boksi ya note ni NS 2 cvt kwa arusha ni 140000 na ukiweka ni mkataba wa kuanzia KM 10000.
Kumbukq hizi ni bei za arusha..ina maanq Dar bei itakuwa chininzaidi na spea zote hizi ni original.
Coil ya Nissan note ni ghali kwa sababu cylinder ina coil yake na nilichogundua watu wenye magari yenye coil kama hizi hatuchekani bei...iwe toyota suzuki ..nissan au kampuni zinginezo...
Hatabspea original zq toyota ni ghala kama hizo za nissan..
ndiyo maana watu wenye nissan ukifunga spea fundi analia coz anajua kurudi kwake si chini ya miaka miwili..
narudia Nissan hii nina miaka nayo minne plug nimebadili mara moja tu...
Muulize mtu wa corolla kama kwenye buti la gari hana kibegi kilichojaa maplug
Narudia tena upo Arusha. Arusha ni karibu na Nairobi. Nairobi plug nne za Nissan Note ni 140,000 tena Iridium.
Nipe jina la duka wanalouza hizo plug kwa bei hiyo Dar. Nipe duka tofauti na Kisanga pale Dar ambalo wanauza CVT fluid NS2 kwa hiyo bei.
