Nissan Y60

Kwanini ulitoa RD28 wakati ina ulaji mzuri wa mafuta na nguvu.

TD42 kwa body hiyo,hapo gari si imekuwa na nguvu sana
Nikweli unachokisema lakini nipo linunuwa ilikuwa imeshachokonolewa sana na turbo ikawa inasumbua kila siku nikapambana nayo nikachoka siku natoka Dodoma ikagonga Engine nikachukia nikaivua kabisa.
 
Nikweli unachokisema lakini nipo linunuwa ilikuwa imeshachokonolewa sana na turbo ikawa inasumbua kila siku nikapambana nayo nikachoka siku natoka Dodoma ikagonga Engine nikachukia nikaivua kabisa.
Ungepata Spare Genuine na Fundi mzuri ungekuwa unaifaidi RD28. Hiyo Td42 nguvu ipo ila mafuta ndio ugomvi
 
Kwa nini nissan civilian zikiwa na hii injini huwa zinachemsha zikipiga route ndefu tofauti na mshindani wake coaster 1hz?
Service mbovu, Nissan anapiga route ndefu bila shida. Saizi Nissan Civilian W41 zinakuja na engine aina 3, Zd30 kwa short base body, Td42 na 4M51 kwa long base body.

4M51 ya mitsubishi saizi inafungwa kwenye Nissan Civilian W41 kutoka kiwandani moja kwa moja.Hii inapambana kwa nguvu na mwendo na engine ya 1hd -fte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…