Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndinga bei gani?View attachment 2944604moja ya gari nayoiamini ktk utendaji wangu wa kila siku Nissan Y60
Sasa sisi tufanye?View attachment 2944604Moja ya gari nayoiamini ktk utendaji wangu wa kila siku Nissan Y60
Hujanikwaza ila kibongo bongo....unatafuta kurogwa!🙂Naomba sana nisamehe kama nimekukwaza kwa hilo.
AminaSawa nimekuelewa ndugu, asante sana kwa ushauri huu nitauzingatia
Watu wenye husda wanajibiwa hivi ili wajuhuku wenyeweNaomba sana nisamehe kama nimekukwaza kwa hilo.
Old is gold huu msemo una maana sana kwa wanao uelewe hizi gari za kisasa zinazo kwama hata kwe vidimbwi vidogo hizi bure kabisaSafiii sana mkuu. Mimi nina kamnyama kangu Suzuki Escudo 1992 daah ninakakubali sana. Hizi ndiyo gari nizipendazo
Kwanini ulitoa RD28 wakati ina ulaji mzuri wa mafuta na nguvu.Niliitoa nikaweka TD42 Mkuu
Nikweli unachokisema lakini nipo linunuwa ilikuwa imeshachokonolewa sana na turbo ikawa inasumbua kila siku nikapambana nayo nikachoka siku natoka Dodoma ikagonga Engine nikachukia nikaivua kabisa.Kwanini ulitoa RD28 wakati ina ulaji mzuri wa mafuta na nguvu.
TD42 kwa body hiyo,hapo gari si imekuwa na nguvu sana
Ungepata Spare Genuine na Fundi mzuri ungekuwa unaifaidi RD28. Hiyo Td42 nguvu ipo ila mafuta ndio ugomviNikweli unachokisema lakini nipo linunuwa ilikuwa imeshachokonolewa sana na turbo ikawa inasumbua kila siku nikapambana nayo nikachoka siku natoka Dodoma ikagonga Engine nikachukia nikaivua kabisa.
Service mbovu, Nissan anapiga route ndefu bila shida. Saizi Nissan Civilian W41 zinakuja na engine aina 3, Zd30 kwa short base body, Td42 na 4M51 kwa long base body.Kwa nini nissan civilian zikiwa na hii injini huwa zinachemsha zikipiga route ndefu tofauti na mshindani wake coaster 1hz?