Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
NIT yazindua raasmi kozi ya marubani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeanza lini,qualifications za kujiunga ni zipi?
Itakuwa vizuri sana imeanza lini
Kimsingi hili lingekuwa swali langu kwa mleta mada au yeyote aliyefuatilia habari hizi.MPaka sasa ivi wana ndege moja ya kufundishia.
Kimsingi hili lingekuwa swali langu kwa mleta mada au yeyote aliyefuatilia habari hizi.
Chuo chochote, mbali ya kuwa na madarasa maalum yenye simulators za kurusha ndege, ni lazima mwisho wa siku kiwe na ndege kwaajili ya field work, ambapo bila hivyo kinakuwa cha kufundisha UKIHIYO!
Ninachojiuliza hadi sasa NIT wamewezaje ku'acquire ndege hiyo ya mazoezi.
Hahahaha Tanzania nchi yangu nakupenda,Mulugo unatuletea shida mtaani!NIT ndo nini?
Ni hatua nzuri kwa NIT kuzindua school of Aviation, ila uongozi uwe madhubuti haswa maana kwenye school of driving vyeti feki vingi sana viko mitaani na ajali bado zinaendelea, chonde chonde yasije tokea na huko maana itakuwa MAJANGA.
Wamesema wamezindua jana.Itakuwa vizuri sana imeanza lini
Wamesema wamezindua jana.
Kikubwa ninachokiona mimi hapo ni kuwa upande wa Elimu ya theory wataipata, tena nzuri sana. Kuna walimu wengi sana wazuri pale CATC ambao naamini watawatumia kama hawajapeleka wa kwao kwenye training.
Ila wanapaswa kuongeza ndege ya pili ya mazoezi, maana hiyo moja haitakidhi. Najua itakuwa ni single engine, ambapo wanapaswa pia kuwa na twin engine ili kutoa marubani wa kiwango, pia kama hiyo moja ikipata snag hapatakuwa na kusimamisha madarasa ya field.
Tatizo linalovishinda vyuo vingi binafsi ni running costs za hizo ndege. Kuwa na ndege na kufanikiwa kui'sustain ni field inayojitegemea kabisa, na zaidi wanafanikiwa waliojikita kwenye biashara hiyo.
Inataka umakini wa hali ya juu kusustain ndege ya kufundishia wanafunzi parse!,vinginevyo ndani ya mwaka mmoja itakuwa grounded pale Jnia, huku ikiwa na madeni ya dola lukuki.
Mkuu wangu Lily Flower,Ni hatua nzuri kwa NIT kuzindua school of Aviation, ila uongozi uwe madhubuti haswa maana kwenye school of driving vyeti feki vingi sana viko mitaani na ajali bado zinaendelea, chonde chonde yasije tokea na huko maana itakuwa MAJANGA.
Inatia moyo!Aero - Lease Investment ndio iliyo wapatia NIT ndege kwa ajili ya mafunzo ya marubani kwa ngazi ya PPL.
Pia wanashilikiana na TGFA ili kukamilisha utaratibu wa kufundisha marubani walio na leseni za PPL kuweza kusoma mpaka CPL.
Inatia moyo!
Ukitembelea shule yoyote ya kindergatten na ukauliza watoto...when you grow up, whom do you want to be, watakujibu PILOT!...huenda ndoto za watoto wetu zikatimia endapo bei za chuo hiki zitakuwa za kizalendo.
Nimefurahi kusikia kuwa TGFA wataingia kama wabia, jambo ambalo linatoa mwanga zaidi wa professionalism kwenye fani hii kupitia NIT.
Jamaa hawa wako vizuri sana kwenye fani, na wanatembea kwa viwango, labda huenda ni kwavile bajeti yao inatoka kulikoungua shoka!
Hii kampuni ya Aero-Lease ni ya watu gani?