mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Zinaa ni msamiati wa kidini, kinachofanyika ni ngono tu.Sisi wengine baada ya kuzini mwili ndio unakua fiti na ku reset tena
Zinaa ni msamiati wa kidini, kinachofanyika ni ngono tu.Sisi wengine baada ya kuzini mwili ndio unakua fiti na ku reset tena
Halafu sijui kwanini demu ambaye umepiga halafu ukajutia kusex naye yeye bado anakuwa anakuhitaji na anaweza kukusumbua mfanye tena ila wewe hutaki kabisaMkuu acha kabisa, baada ya hilo tukio nmeshakutana mtaani na yule dada mara mbili ananichangamkia ila mimi nilishamfuta kabisa hata namba sina tena.
Kweli mkuu Makalio na Matako ni kitu kimojaZinaa ni msamiati wa kidini, kinachofanyika ni ngono tu.
Sitaki kabisa apite mbali kabisa. Sema hakunizungusha kabisaHalafu sijui kwanini demu ambaye umepiga halafu ukajutia kusex naye yeye bado anakuwa anakuhitaji na anaweza kukusumbua mfanye tena ila wewe hutaki kabisa
oh you see,mfano mzuri ni huu hapa,yani uzinzi ni kitu cha kukiepuka na kinawezekana kabis,sioni faida ya kuwa wapenzi zaidi ya mmoja ni kuididimiza nafsi yako na mwisho wake huwa sio mzuriMara ya mwisho kuchepuka ndio niliamini akili hurudi tu baada ya kufika mshindo, nikawaza nimefanya nini hiki na huyu mtu ambae hata siku mbili hatuna. Gharama nilizotumia sikuwaza nikaamua nabadilika na nashukuru naona utofauti sasa.
Kwa hiyo wasiooa hawatakiwi kufanya mapenzi maisha yao yooote?Hiyo option ya mwisho namba 3 ndio ilipaswa iwe first priority,
Ndoa huleta utulivu wa nafsi ukiacha faida nyengine nyingi.
Vipi kama umeoa?Uzinzi hauna faida zaidi ni kuongeza mikosi na laana kwenye maisha yako.
Mawazo ya zinaa yakinijia huwa natafuta kitu cha kufanya kuniweka busy. Kitu chochote productive kama kufanya usafi au mazoezi.
nimefanya hivyo pia sasa natimiza mwaka,na nimeokoa mambo mengi sana makubwa siwezi hata kuelezea faida ni nyingi kuliko hasara ,sio ujanja kuwa na mademu wengi ni ujinga wa story za vijiweni, ila ukishajitambua utajiona viwango vyako vikipanda,hongera sana mkuuUzinzi hauna faida zaidi ni kuongeza mikosi na laana kwenye maisha yako.
Mawazo ya zinaa yakinijia huwa natafuta kitu cha kufanya kuniweka busy. Kitu chochote productive kama kufanya usafi au mazoezi.
Nikweli aisee nilikua mgeni mtaa mmoja nikaipiga pisi moja hatari kimya kimya kama mara Tatu, siku moja niko na masela mtaani tu napiga story akapita yule demu, aisee liliposhushwa faili lake nilianza kutoka jasho nikiwa kinvulini.Majuto huja baada ya kuwa mgeni kitaa , halafu unaona pisi kali, unaichapa kimya kimya , halafu unakaa na masela kitaa unaiulizia unasikia pale kila mtu kachapa, halafu mbaya zaidi ukute umechapa kavu😅
unakuta ukibaki na mkeo unakua na raha kuliko ukichepuka,kuna jamaa wengi tu marafiki zangu nilipoacha ujinga kuchepuka mwaka sasa umepita mwanzo hawakunielewa na wengine waliacha kunitafuta,ila sasa wamerudi kwa kasi somo limewaingia vizuri na waneona faida zake,valentine tulikua wote kila mtu na mke wake safi kabisa tulipongezaba kwa kuweza maana haikua rahisi tulikua wahuni sana ila dhambi ukiikemea inatii na inakuacha kabisa,Mimi Huwa nakuwa na majuto makubwa....sikuiz bora tu nibakie na wife na starehe yangu ni kula tu na vinywaji....
Unaanza kuwaza kama uliichubua😆😆Nikweli aisee nilikua mgeni mtaa mmoja nikaipiga pisi moja hatari kimya kimya kama mara Tatu, siku moja niko na masela mtaani tu napiga story akapita yule demu, aisee liliposhushwa faili lake nilianza kutoka jasho nikiwa kinvulini.
uthubutu mkuu unafanya mambo makubwaMkuu acha kabisa, baada ya hilo tukio nmeshakutana mtaani na yule dada mara mbili ananichangamkia ila mimi nilishamfuta kabisa hata namba sina tena.
Sijui bora hata Epstein file, jamaa walianza kusema, huyu demu mwili umerudi alikua anabebwa kutolea nje, wakuanika kama Kuni, moto ulimaliza Kinga za mwili.Unaanza kuwaza kama uliichubua😆😆
sio hivyo tu mkuu,yani ukishaamua kukaa na mkeo tu pasipo kuchepuka shetani anakuletea mademu pisi kweli na zinakutongoza zinatumia gharama zote wakupate yote hayo ni kwa kuwa umejiweka mbali na uzinzi ndivyo ilivyoHalafu sijui kwanini demu ambaye umepiga halafu ukajutia kusex naye yeye bado anakuwa anakuhitaji na anaweza kukusumbua mfanye tena ila wewe hutaki kabisa
Katika hiyo hali nani anakuwa "mjanja"?? Demu ambaye amepitiwa na masela 10+/- au masela kwa idadi hiyo ambao wamemla demu mmoja??Nikweli aisee nilikua mgeni mtaa mmoja nikaipiga pisi moja hatari kimya kimya kama mara Tatu, siku moja niko na masela mtaani tu napiga story akapita yule demu, aisee liliposhushwa faili lake nilianza kutoka jasho nikiwa kinvulini.
Kila binadamu anajua kuwa ana dhambi, ni ngumu kuepa dhambi Dunia ya Leo.sasa tuweke sawa hii hoja kinacho kufanya ujutie baada ya uzinzi ni hiyo dhambi ulioifanya dhambi ya uzinzi