Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

sio hivyo tu mkuu,yani ukishaamua kukaa na mkeo tu pasipo kuchepuka shetani anakuletea mademu pisi kweli na zinakutongoza zinatumia gharama zote wakupate yote hayo ni kwa kuwa umejiweka mbali na uzinzi ndivyo ilivyo
Na sisi tulio mabachelor tukiamua kukaa mbali tunaweza kupata hizo fursa 😁
 
Kila binadamu anajua kuwa ana dhambi, ni ngumu kuepa dhambi Dunia ya Leo.
Uzinifu unakuja Baada ya mwili kushindwa kabisa Kwa hiyo inabidi binadamu aupe hitaji lake.
Mtu afanye dhambi zote aogope kuzini tu
upo sahihi mkuu naamini ukiweza kuikataa dhambi ya uzinzi na zingine zinakua rahisi nadhani unaelewa uzinzi unavyokuvuta kwa urahisi na majuto yake sio mazuri,ila ukiweza kuiacha na nyinge utaziacha kirahisi tu
 
Hello bosses and roses...

Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa.

Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za nyuma yake, moments hizo huhusisha gharama kama vile kuhonga, usafiri, hata gharama ya muda pia.

Hizo moments na gharama zote (za kifedha na muda) ndio chanzo kikubwa cha hio hali mbaya unayojisikia, nitaelezea hapa chini...

Pale tu ukimaliza kuzini na ukafurahia jambo hilo kwa dkk chache kinachofuata ni majuto (regrets) regrets huwa kubwa kulingana na kwanza gharama, muda na risk ulizochukua ili kupata starehe ya dkk kadhaa, pili uwezo wako wa kuhandle loss, kuna mwingine loss ya 100k sio issue ila mwingine akipoteza 20k atalia siku 2.

Katika ubongo wa binadamu, hakuna sumu kubwa kama majuto (regrets), majuto yamefanya watu wajiue, watu wawe machizi, etc....

Sasa yale majuto ya kuzini na ile hali ya kupoteza (loss) inakuja kuathiri ubongo na kuzuia utoaji wa kemikali muhimu za kuendesha hisia, hapo ndipo mwili nao una-react unaanza kujihisi mchovu, huna hamu ya chochote kile.

Kama bado haukubaliani na mm jiulize kwa nini kama ulizini kwa maandalizi (kuhonga, kusafiri kufuata mwanamke/mwanaume, etc...) ndipo huwa unajisikia vibaya hivyo ila zile za kimasikhara tu yaan paa mmeingia kingi bila kutegemea (muulize rikiboy ) mara nyingi haziji na hio effect ya kujisikia "vibaya"

Na pia wale wanaozini kila siku ila ni wamekubaliana kuishi wote bila ndoa nao huwa hawa hawapati hio hali ya kujisikia vibaya bali utasikia "Cha asbh kinachangamsha" sababu yeye kupata hio hawekezi saana kama yule wa kuhonga.

So tiba yake ni nini? Tiba yake ni kati ya haya:-

1) kuacha kuhonga na kuzini

2) Kama 1 imekushinda basi ondoa kabisa hisia ya majuto baada ya kuzini, ikija tu ji-distract ufanye kitu kingine, mfano kwa huyu alieweka uzi anasema siku ya nne sasa anajisikia vibaya dawa yake tu ni kuacha kujutia, akiacha kujutia ubongo unajireset na kuendelea kawaida

3)Pia kama 1 na 2 huziwezi basi oa, au ishi na mwenza wako hio itakupa fursa ya wewe kupata tendo bila kuwekeza sana, hivyo kupunguza majuto baada ya tendo.

Learn or suffer......
~ kali linux
Mimi nikimaliza kusex, huwa sijutii kupoteza pesa tu, huwa najuta kuoverate sex.

Nyege mbaya sana dadeki
 
Hongera mtoa maada..
Ila umeeleza angle moja tu ya hasara/majuto anayopata mzinifu ambapo wewe umeegemea zaid kwenye kupoteza Pesa+muda.
Lakini yapo mengine umeyaacha ambayo hayo uliyoyaacha ndo mazito zaidi na ndiyo huumiza wengi pale wanapokuwa katika kipindi cha kujutia lile tendo.

Ni kwa kwamba kiufupi zinaa ni tendo/jambo zito KIROHO ambalo binadamu tunalifanya japo tunaliona ni la kawaida ila nyuma ya pazia tunafanya kosa kubwa mno bila kujijua.

Katika maandiko matakatifu ya kiislam,zinaa ndiyo dhambi/kosa pekee ambalo Mungu hakusema tusilifanye bali amesema TUSILIKARIBIE KABISA,
Ile hali ya kuchukulia poa/kawaida wakati upo katika process ya kulikaribia na kulifanya kabisa,hapa huwa hatuwazi na hatujali madhara yoyote yatakayotokea baada ya tendo.
Haya ni baadhi ya mambo yanayomletea mzinifu majuto pindi tu atakapomaliza tendo.
1:Hatari alizopitia kuanzia kumfuatilia mwanamke/mwanaume
2:Anaiwazia dhambi/kosa la kuzini kwa huyo mwenza
3:Kujilaumu kwa kudanganywa na shetani kwamba hiki unachokiguatilia ni chuma haswa,si unaona tako lile,si unaona paja lile,si unano alivyo vile ...ukimfunua nguo zake ndo utaenjoy zaid.....siku ya tukio mfanyaji hushangaa baada ya kumaliza tu ule uzuri wote aliokuwa anauona hauoni tena,mbaya zaidi yule mwanamke/mwanaume alivyokuwa anamuwazia yupo tofauti na alivyoona kuanzia umbo,sehemu za siri nk....hapa ndo wengi hujuta mnnoo akiumganisha na magharama,muda alioutumia kumgukuzia/kufukuziwa huyo mtu.
4:Hatari ya kuiweka rehani afya yake
5:Hatati ya kumtia/kupata mimba
6:Hatari ya kujulikana na watu
7:Hatari ya kumuachanisha na mume/mke wake
Haya ni badhi ya mambo yanayo mfanya mtu kijilaumu sana dk chache alizostarehe kuweza kuharibu maisha yake yote
Hata ulichokiomgelea kinaangukia kwenye kujilaumu, regrets, ila hapa mtu anajilaumu kwa kumkosea Muumba wake (nje na loss za muda, fedha, etc...) ambapo tiba ni kufanya toba kwa Muumba wake.

Sikutaka kuliongelea hilo na nikajikita zaidi katika saikolojia ili kuweza kuwagusa wote wanaoamini na wasioamini katika Mungu na/au dini
 
kinachofanya ujutie baada ya uzinzi sio hizo gharama za kuhonga kumtunza mwanamke au mwanaume hapana maana hela inatafutwa na unaipata hiyo ni harasa kama hasara nyingine tu ,kwahiyo utapata hela tena na utaonga tena na tena ,sasa tuweke sawa hii hoja kinacho kufanya ujutie baada ya uzinzi ni hiyo dhambi ulioifanya dhambi ya uzinzi hata kama huitambui au huamini kuwa ni dhambi ila kiroho inakuhukumu na haikuachi salama
je kwa ambao hawaamini uwepo wa Mungu na dini?

Na ndio maana nikatumia saikolojia ambapo wote inawahusu.

Generally sababu kubwa ni Majuto, regrets...

yanaweza kuwa majuto ya vitu mbalimbali ikiwemo unachokisema wewe.
 
unakuta ukibaki na mkeo unakua na raha kuliko ukichepuka,kuna jamaa wengi tu marafiki zangu nilipoacha ujinga kuchepuka mwaka sasa umepita mwanzo hawakunielewa na wengine waliacha kunitafuta,ila sasa wamerudi kwa kasi somo limewaingia vizuri na waneona faida zake,valentine tulikua wote kila mtu na mke wake safi kabisa tulipongezaba kwa kuweza maana haikua rahisi tulikua wahuni sana ila dhambi ukiikemea inatii na inakuacha kabisa,
Exactly
 
KUTEMBEA KILOMITA 14 ,kwenye kiuno cha mwanamke siokazi ndogo uchomvu
 
Nafurahi nyege sio sehemu ya hulka yangu thanks for ancestor

Ila Gambe.!?mwenye huruma kidogo tu na anihurumie walimwengu
 
Back
Top Bottom