Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

Eeeh MUNGU msaidie na mume wangu aache hii zambi , kwake ni heri ndoa ivunjike lkn si kuacha uzinzi, mfanye kuwa na majuto makuu akichepuka, tuwe na furaha na amani kwenye ndoa yetu, yote yanawezekana kwako Baba
 
"2 Samweli 15: Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako"

Uzinzi ni tendo la kiroho zaidi" Baada ya Amnoni kufanikisha kumlala umbu lake ambaye hapo awali alimtamani na kumpenda sana kiasi cha kuugua, lkn mara tu baada ya kufanikisha Akamchukia machukizi makuu kuliko alivyompenda"
Kwa nini?
Sababu baada ya kutenda huo uovu hukumu hutolewa mara moja ktk ulimwengu wa roho. Hukumu hiyo ndio husababisha huzuni, majuto nk.
Amnoni alihukumiwa Kifo.
Na aliuawa na nduguye Absalomu.
Na ndio maana baada ya tendo lile' alimchukia sana umbu lake Tamari' ingawa hapo kbl aikuw akimpenda kiasi cha kuugua.
Na hilo ndilo linalowatokea watu baada ya kuzini.
 
Eeeh MUNGU msaidie na mume wangu aache hii zambi , kwake ni heri ndoa ivunjike lkn si kuacha uzinzi, mfanye kuwa na majuto makuu akichepuka, tuwe na furaha na amani kwenye ndoa yetu, yote yanawezekana kwako Baba
Mungu ni mwaminifu dada hakika sala zako amezisikia na mume wako atakua yule uliemtamani kwa muda mrefu,tambua muda huleta majibu usimkatie tamaa ,na Mungu atambadilisha maana peke yako huwezi.ndoa ya maelewano ni nzuri sana na huleta faraja na watoto wenu hujifunza kupitia nyie, ndoa sio nyepesi lakini pia sio ngumu ni namna unaichukulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…