Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa!!
Elimu Masters of science in Finance
Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi)
Umri 33 sina mtoto
Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba sana wastani meter 1.65
Uzito Kg 73.
Kipato Monthly income 2300-3000$

natafta Mke wa Kuoa ambaye atakuwa na sifa zifuatazo
1. Mwonekano uwe namna hii Kama sivyo usiendelee
2. Mkristo
3. Umri 23-30 basi
4. Uwe tiyari kusafiri
5. Usiwe na mtoto hata ukificha ntagundua
6. Elimu Usiwe chini ya Form four
7. Usiwe mfupi
8. Kabila lolote lile ila ningependa makabila yafuatayo Nina sababu zangu
A. Mnyakyusa : mtu wa nyumbani
B. Mchanganyiko wa muhaya na wanyarwanda kidogo au Muhaya wa karagwe
C. Msukuma

9.Uwe una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato
10.uwe tayari kwa ndoa!!

nitajibiwa ooo Umba wako !! Mimi lazima niseme Chenye roho inapenda sitaki kumcheat Mke wangu!!! Mke ni pambo lazima tuoe wazuri

ntaambiwa hujawa tiyari kuoa niko tiyari tena ndoa nataka iwe February ndo ntakuwa Tanzania
DM Kwa mazungumzo zaidi

View attachment 1937485

View attachment 1937486

View attachment 1937487
Utakufa ww fala chagua chagua mwisho wake utaangukia kwa bar maid
 
Haya masihara tutayaendeleza mpaka saa ngapi?
 
Hao hao hao ndo nataka nasikia wanyakyusa wenzangu ni sura za Baba zetu
Haa Haa Haa
Tanzania Ni Tajiri
Ukiweza Njoo Nzega Hapa Kuna Waburushi Wengi Wanaongea Kisukuma Safi Labda Changamoto Ni Dini HHawa Wengi Ni Dini Ya Mudi
 
Back
Top Bottom