Nitaendelea Kusaka Mke hata Kama ntaambiwa umba wa kwako Vigezo ni hivi

Sasa mkuu na sifa zote ulizo nazo umeshindwa ata kumshawishi mmoja hapo pichani umuoe?
 
Wewe hujui gharama ya kukaa na mhaya mwenye asiri ya ki-nyarwanda ya (kua the host) hilo wenge na vi $ uta vi enjoye, na wanyekusa walio kusomesha hawata enjoye jasho lao lakukusomesha kwa sababu ya rural-urban axcitement yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…