Nitafanya ujinga wote ila sio ujinga wa kuchagua kilichochaguliwa

Nitafanya ujinga wote ila sio ujinga wa kuchagua kilichochaguliwa

kila mtu ashike nafasi yake kama nikupiga kura piga ili siku ukiona ujingaa uukemee hiii attitude ya kujifanya hutaki sababu wameshapanga achana nao ndo hata siku ukisikia watu wanagoma sababu iwepo sababu waliochaguliwa wanafanya ujinga regardless ulimchagua au hukumchagua ila kuna uwajibikaji ulifanyika tusifundishe kizazi kinachofata uwoga hatakama hichi kizazi chetu tulikuwa mafala wa mwisho ila tusitake virusi hivyo tuvihamishie kwa watoto
 
Back
Top Bottom