Sio kweli. Mbona matokeo ni kama vile yanajulikana bado kutangaza tu.? Siwezi kwenda kushiriki kuuza mechi.Jitahidi ukapige kura mkuu
Kura yako moja tuuh inatosha kubadili kila kitu.
HahahaLeo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa.
Huo muda mchafu sina
Hihiiiii
View: https://x.com/halimamdee/status/1322205617558298624
Nimeikumbuka hii clip ya 2020. Licha ya kura feki kukamatwa mbele ya polisi tena wakiwa na uniform alafu hakuna chocho kilichotokea
Daaah nikajua unazungumzia Mademu waliozalishwaLeo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa.
Huo muda mchafu sina