Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

Tozo ya September, October, November na December ni kiasi gani na zimefanya nini?
Hawataki kusema, halafu wamekopa Trillion 8 kwa ajili ya madarasa na madawati, ambazo ndio hizo hizo walisema ndio tunakatwa tozo, mambo ya hovyo, vurugu vurugu tu, miradi imesimama kwa kukosa pesa, tozo tunakatwa, mikopo wanakopa bila ruhusa ya bunge, hili litaondoka na mtu kwa kweli
 
Hahaha mzee ukisema ufatilie mambo nchi hii
Unaweza ubongo ukapata mushkeli!

Ova
 
We bogus kweli, kwani wanaogiza magari kwa USD na kuuza kwa Tanzania shillings huwa wanafanyaje? Aisee mataahira mtaisha lini?!
Sawa lakini sina hakika kama unajua kuwa nchi ikiwa haina foreign reserve wewe mtu wa kawaida hata ukitaka kununua gari nje huwezi kufanya hivyo. Unajua hilo? Kumbuka yule mtu wa nje anapewa USD sio TZS ingawa wewe unaona umelipa TZS. Kama uelewa wako ni mdogo au huna ABC ya uchumi na finance kwenye hili suala hutaelewa kwakuwa niliyoyasema ni makubwa kuliko maarifa uliyonayo
 
Hawataki kusema, halafu wamekopa Trillion 8 kwa ajili ya madarasa na madawati, ambazo ndio hizo hizo walisema ndio tunakatwa tozo, mambo ya hovyo, vurugu vurugu tu, miradi imesimama kwa kukosa pesa, tozo tunakatwa, mikopo wanakopa bila ruhusa ya bunge, hili litaondoka na mtu kwa kweli
Ndugai akiongea wanaibuka makundi kwa makundi kumjibu ila ukiuliza tozo ilipoenda no majibu
 
Sawa lakini sina hakika kama unajua kuwa nchi ikiwa haina foreign reserve wewe mtu wa kawaida hata ukitaka kununua gari nje huwezi kufanya hivyo. Unajua hilo? Kumbuka yule mtu wa nje anapewa USD sio TZS ingawa wewe unaona umelipa TZS. Kama uelewa wako ni mdogo au huna ABC ya uchumi na finance kwenye hili suala hutaelewa kwakuwa niliyoyasema ni makubwa kuliko maarifa uliyonayo
Kiazi tu wewe, nimekuuliza, wanao nunua magari nje kwa USD na kuuza nchini kwa Tshs. huwa wanafanyaje?
 
Ni bora ukakaa kimya mkuu. Wanaoelewa concept za balance of payments wanakuona mjinga. Huwa sibishani na watu wasio jua halafu wanajifanya wanajua.
 
Sio concept, nakuuliza tu, hao wanaonunua kwa USD nje na kuuza kwa Tshs. nchini wanafanyaje, utaahira tu unaleta hapa
 
Back
Top Bottom