Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

Kwa kuwa Tozo za mwezi August tuliambiwa zilipoelekezwa, ni vyema basi na hizi za Septemba tukaambiwa zimeelekezwa wapi
 
Barabara ya nyerere road inapendelewa.

Ndio ya kwanza kujengewa fly over dar pale tazara.. na haijapita hata muda imeanza kujengewa fly over ya pili mataa ya veta. Huku bara bara zingine kubwa kibao hazina fly over hata moja.
Barabara ya kupitisha viongozi ile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ECC3BF03-DF7A-4443-8291-35BB593A6B93.jpeg
 
Kuna anaejua tozo za mwezi Septemba zimeelekezwa kwenye mradi upi?
 
Sasa mkijenga flyover moroco si mtabomoa sheli,mtabomoa power station ile ya tanesco
Mtaimega NHC pia !!!au

Ova
 
Sasa mkijenga flyover moroco si mtabomoa sheli,mtabomoa power station ile ya tanesco
Mtaimega NHC pia !!!au

Ova
Wataalam ndio kazi yao hiyo, patajengwa hapo bila shida yeyote. Ila je, tozo ya mwezi Septemba imeelekezwa wapi?
 
Uchumi wa nchi unakuzwa na uchumi wa wananchi kupitia uzalishaji. Tozo ni kuongeza pesa hazina kwa kuwanyang'anya wananchi. Ni sawa na mjinga mmoja kuhamisha pesa mfuko wa pili na kuziweka mfuko mmoja na kuwatambia majuha wenzake kuwa ametajirika mpaka mfuko umetuna.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂, mimi nataka kujua, tozo ya Septemba imeelekezwa wapi?
 
Hivi tozo ya Septemba, imeelekezwa kwenye miradi ipi?
 
Kuna Mambo mengi ya msingi ya kufanya:-

1.Maji
2.Elimu
3.Madawa
4.Barabara zipitike kwa muda wote mijini na vijijini /karabati/madaraja
5.Umeme
 
Kwahiyo tozo ya mwezi wa 9 imeelekezwa kwenye mradi upi?
 
Back
Top Bottom