Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

Tanzania sio Dar tu,Pesa ziende maeneo mengine kuboresha maisha ya Watanzania wengine
Za mwezi wa 7 na wa 8 si zimeenda tayari kujenga madarasa na Zahanati nchi nzima, huna habari?
 
Tunahitaji huduma muhimu ziwe kipaumbele, tumeshakubali kuwa tozo tutatozwa tutake tusitake. Angalau waangakie maeneo muhimu kama mambo ya afya, elimu, miundombinu ya maji na barabara.

Big five tunatakiwa kuzifanyia kazi, Maji, Elimu, Afya, Umeme na Barabara.
 
Jamani hapa mwanga sokoni barabara ya kigoma ujiji tunahitaji flyover tozo za december zitusaidie na sisi wa mwanga mwandiga
 
Tozo ya mwezi wa 8 tumeambiwa kwamba imeenda kwenye madarasa na Zahanati, Je, tozo ya mwezi Septemba imekwenda wapi? Mbona kimya?
 
Tozo za mwezi Septemba zimeenda wapi? Tuambiwe kama tulivyoambiwa za July/August
 
Za mwezi August tuliambiwa zimeenda kujenga zahanati na madarassa, je, za mwezi wa 9 zimeenda wapi? Kuna anayefahamu?
 
Mi nashauri Morogoro road ipanuliwe kuanzia kibaha mpaka mlandizi kwanza .halafu huko mbeleni wasogee wasogee mpaka Moro kwa hii miaka 5.
 
Mi nashauri Morogoro road ipanuliwe kuanzia kibaha mpaka mlandizi kwanza .halafu huko mbeleni wasogee wasogee mpaka Moro kwa hii miaka 5.
Nadhani hii ifanyike kwa tozo ya mwezi wa 10
 
Hivi kuna anaejua tozo ya mwezi septemba imeenda kujenga nini?
 
 
Nitafurahi sana kama tukielezwa kwamba tozo ya mwezi Septemba imeelekezwa wapi?
 
Back
Top Bottom