Kwani Masters haipo kwenye Muundo?? Rudi kasome vizuri Scheme ya Serikali. Tatizo watumishi mnaenda kusoma Masters nje ya Kozi zenu za Bachelor Degree hapo Masters yako itakua zero tu. Mfano, wewe ni Mwalimu una Degree ya BAED halafu Masters unakuta ameenda kusoma MBA, HR, Sociology hapo cheti chako hakina mantiki maana hakitaongeza tija na Ufanisi kwenye Kazi yako ya Ualimu uliyopewa.
Mind You ukija na Masters ya Math, saikoloj, masters of History, kemia, Fizia ukileta cheti unaongezewa mshahara. Shida tu Watumishi Hamsomi Miongozo, Nyaraka na Sheria za Utumishi wa Umma na hii ipo tangu mwaka 2004 sasa sijui leo 2023 unataka muuundo upi wenye masters labda ufafanue.