Nitafurahi kuona/kusikia serikali imeweka muundo wa kiutumishi kwenye master degree

Watanzania wengi tumejawa wivu na kuumia kwa vitu tusivyo na uwezo navyo, Mimi nakuasa tu ujue kuwa ELIMU NDOGO NI SUMU, (Chachage, 2004) R.I.P PROF CHACHAGE.
Wewe hiyo masters yako inamsaada gani kwa jamii zaidi ya kukuongezea mshahara? watumishi 99% hawaendi kusoma kwamba waongeze ujuzi isipokuwa apate mshahara mkubwa, tunataka watu wa-deliver vitu unique, watumishi wengi wa bongo 90% ukitoa ile karatasi(certificate) kichwani hana kitu ni copy and paste, watu wanatakiwa waanze kulipwa kwa matokeo na siyo kwa vyeti. Nipe mfano wewe ndiyo una masters ya human resource management au maendeleo ya jamii sijui ustawi wa jamii, HR kuandika barua kwa mtumishi au kumjazia form ya likizo kuna hitaji masters? shame on you na masters yako.
 
Hapo ukute una masters lakini ukiingia ofisini ni kujadili mipira sijui diamond Ally Kiba n.k mwisho wa siku unacheza game kwenye computer siku imeisha
 
Wewe hiyo masters yako inamsaada gani kwa jamii zaidi ya kukuongezea mshahara? watumishi 99% hawaendi kusoma kwamba waongeze ujuzi isipokuwa apate mshahara mkubwa, tunataka watu wa-deliver vitu unique, watumishi wengi wa bongo 90% ukitoa ile karatasi(certificate) kichwani hana kitu ni copy and paste, watu wanatakiwa waanze kulipwa kwa matokeo na siyo kwa vyeti. Nipe mfano wewe ndiyo una masters ya human resource management au maendeleo ya jamii sijui ustawi wa jamii, HR kuandika barua kwa mtumishi au kumjazia form ya likizo kuna hitaji masters? shame on you na masters yako.
Familia nyingi bila kuwa na mama watoto wengi sana wasingesoma, Kama akili za baba ambaye ana account jamii Forum zipo hivi🤣🤣 mama heshima nyingi kwako/kwenu
 
Jibu hoja, mambo ya familia yangu hayakuhusu brother, mimi elimu yangu ibase kwenye ujuzi na siyo makaratasi yasiyo na faida, tunataka elimu ya kumkomboa mtanzania awe na ujuzi ambao utamsaidia, mfano mtu sijui Health Secretary, HR anaweza kujiajiri hata akiwa na masters? kumbe angesoma VETA miezi 6 ikamsaidia akawa fundi bomba ataitwa kwa mtu kuunganisha maji.
 
Nimekuuliza wewe na masters yako umefanya nini kwenye jamii zaidi ya kukaa unawaza ukuu wa idara? Masters yako yenyewe thesis ni copy and paste(ulifanyiwa)
 
Hayo makaratasi ndo nimebandika kwenye mlango wa chopa yenu
 
Kwani Masters haipo kwenye Muundo?? Rudi kasome vizuri Scheme ya Serikali. Tatizo watumishi mnaenda kusoma Masters nje ya Kozi zenu za Bachelor Degree hapo Masters yako itakua zero tu. Mfano, wewe ni Mwalimu una Degree ya BAED halafu Masters unakuta ameenda kusoma MBA, HR, Sociology hapo cheti chako hakina mantiki maana hakitaongeza tija na Ufanisi kwenye Kazi yako ya Ualimu uliyopewa.

Mind You ukija na Masters ya Math, saikoloj, masters of History, kemia, Fizia ukileta cheti unaongezewa mshahara. Shida tu Watumishi Hamsomi Miongozo, Nyaraka na Sheria za Utumishi wa Umma na hii ipo tangu mwaka 2004 sasa sijui leo 2023 unataka muuundo upi wenye masters labda ufafanue
Na mjadala ufungwe 🙏
 
Kwani Masters haipo kwenye Muundo?? Rudi kasome vizuri Scheme ya Serikali. Tatizo watumishi mnaenda kusoma Masters nje ya Kozi zenu za Bachelor Degree hapo Masters yako itakua zero tu. Mfano, wewe ni Mwalimu una Degree ya BAED halafu Masters unakuta ameenda kusoma MBA, HR, Sociology hapo cheti chako hakina mantiki maana hakitaongeza tija na Ufanisi kwenye Kazi yako ya Ualimu uliyopewa.

Mind You ukija na Masters ya Math, saikoloj, masters of History, kemia, Fizia ukileta cheti unaongezewa mshahara. Shida tu Watumishi Hamsomi Miongozo, Nyaraka na Sheria za Utumishi wa Umma na hii ipo tangu mwaka 2004 sasa sijui leo 2023 unataka muuundo upi wenye masters labda ufafanue.
Duuuuuu!!!!! We jamaaa ni muongo hatari sijui hayo umeyapata wapi,hakuna muundo wa masters.Sisi tupo kwenye field muda mrefu tunayafaham.Ukiwa na shahada ya ualimu unachoenda nacho ni hiyo promotion ya madaraja basi mpaka I .Hata ukiwa na shahada ya pili bado hali ni hiyo.
 
Back
Top Bottom