Mkuuu mara zote huwa sibishani na mtu mwenye hulka ya kupenda ligi. Hapa JF hakuna tuzo wala mshahara. SIYO KILA KAZI, WORKLOAD YAKE INAHITAJI MASTERS DEGREE! Dereva, Mfagizi wa Ofisi, Mlinzi Getini, Mwalimu wa Msingi, Nursery and the like ziko classfied kwamba nature yake na ukubwa wa Majukumu yake hayaitaji Masters lkn wapo wale Vichwa ngumu analazimisha kujisomea hukooo baadae anapeleka cheti. Sasa hicho cheti kitaishia kufungia maandazi tu maaana ukubwa wa kazi haukihitaji. Bali unahitaji mafunzo mafupi ya kuongeza Ujuzi, morali ya kazi, kutumia vitendea kazi vya kisasa nk. Over.
Lkn kwa zile kazi zilizoclassfied kuhitaji Masters wanapewa nyongeza za Pesa wakihitimu masomo. achana naye kama anaendelea kubishana.