Sio rahisi kwa vilaza kuweza kuwathamini wasomi.Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Ispotokea Inshallah siku nyingne.
KAZI IENDELEE
Kwani Masters haipo kwenye Muundo?? Rudi kasome vizuri Scheme ya Serikali. Tatizo watumishi mnaenda kusoma Masters nje ya Kozi zenu za Bachelor Degree hapo Masters yako itakua zero tu. Mfano, wewe ni Mwalimu una Degree ya BAED halafu Masters unakuta ameenda kusoma MBA, HR, Sociology hapo cheti chako hakina mantiki maana hakitaongeza tija na Ufanisi kwenye Kazi yako ya Ualimu uliyopewa.Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Ispotokea Inshallah siku nyingne.
KAZI IENDELEE
Hao ndio wana taka mshahara wa master Degree. Na kichwa kipo hivyo.Kichwa cha habari na content kama bikira na uzee
Ndio ushauri wako au ndiyo mwisho wa mawazo yako ?Kichwa cha habari na content kama bikira na uzee
Afafanue Nani Sasa, wewe Ndo uweke vielelezo nimekwambia npo kwaajili ya kufafanua hapaKwani Masters haipo kwenye Muundo?? Rudi kasome vizuri Scheme ya Serikali. Tatizo watumishi mnaenda kusoma Masters nje ya Kozi zenu za Bachelor Degree hapo Masters yako itakua zero tu. Mfano, wewe ni Mwalimu una Degree ya BAED halafu Masters unakuta ameenda kusoma MBA, HR, Sociology hapo cheti chako hakina mantiki maana hakitaongeza tija na Ufanisi kwenye Kazi yako ya Ualimu uliyopewa.
Mind You ukija na Masters ya Math, saikoloj, masters of History, kemia, Fizia ukileta cheti unaongezewa mshahara. Shida tu Watumishi Hamsomi Miongozo, Nyaraka na Sheria za Utumishi wa Umma na hii ipo tangu mwaka 2004 sasa sijui leo 2023 unataka muuundo upi wenye masters labda ufafanue.
Unajua wote ni Walimu, mwalimu bwanaKwani Masters haipo kwenye Muundo?? Rudi kasome vizuri Scheme ya Serikali. Tatizo watumishi mnaenda kusoma Masters nje ya Kozi zenu za Bachelor Degree hapo Masters yako itakua zero tu. Mfano, wewe ni Mwalimu una Degree ya BAED halafu Masters unakuta ameenda kusoma MBA, HR, Sociology hapo cheti chako hakina mantiki maana hakitaongeza tija na Ufanisi kwenye Kazi yako ya Ualimu uliyopewa.
Mind You ukija na Masters ya Math, saikoloj, masters of History, kemia, Fizia ukileta cheti unaongezewa mshahara. Shida tu Watumishi Hamsomi Miongozo, Nyaraka na Sheria za Utumishi wa Umma na hii ipo tangu mwaka 2004 sasa sijui leo 2023 unataka muuundo upi wenye masters labda ufafanue.
Sawa,all the bestLeo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Isipotokea Inshallah siku nyingine.
KAZI IENDELEE
Mkuu ebu jibu swali,huyo mmteule yupo sahihi!!?Unajua wote ni Walimu, mwalimu bwana
mmteule njoo hapaMkuu huyo jamaa Ni mwongo Mimi Nina MA.GEO nimesoma mkwawa Hakuna kitu Kama hcho .
Bora hata certificate aseeWasomi hawahawa wa TZ
Hawa hawa wenye MASTERS DIGREE instead of MASTERS DEGREE 😂😂
Hapana aisee bora tuendelee na utaratibu ule ule.