Mjinga mwingine kazini.Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Isipotokea Inshallah siku nyingine.
KAZI IENDELEE
KilimbatzDuuuuuu!!!!! We jamaaa ni muongo hatari sijui hayo umeyapata wapi,hakuna muundo wa masters.Sisi tupo kwenye field muda mrefu tunayafaham.Ukiwa na shahada ya ualimu unachoenda nacho ni hiyo promotion ya madaraja basi mpaka I .Hata ukiwa na shahada ya pili bado hali ni hiyo.
Watu wanawaza kukuza maarifa ww unawaza miundo tu mtu mweusi ni mweusi hadi kwenye ubongo,unasoma masters kwa ajili ya mshahara ndio maana unashinda kwenye Tv kumsikiliza Mwigulu jiongeze mjomba you are so outdated.Pomole we!
Hapana nasoma masters ili niwajengee ofs pale ufipaWatu wanawaza kukuza maarifa ww unawaza miundo tu mtu mweusi ni mweusi hadi kwenye ubongo,unasoma masters kwa ajili ya mshahara ndio maana unashinda kwenye Tv kumsikiliza Mwigulu jiongeze mjomba you are so outdated.
Hawa hawa wanaotusainia mikataba na dpworld[emoji24][emoji24][emoji24].Wasomi hawahawa wa TZ
Hawa hawa wenye MASTERS DIGREE instead of MASTERS DEGREE [emoji23][emoji23]
Hapana aisee bora tuendelee na utaratibu ule ule.
Ndo hawa hawa mkuu..Hawa hawa wanaotusainia mikataba na dpworld[emoji24][emoji24][emoji24].
Huyo kilaza analinganisha certificate na Masters, aisee `Watanzania wengi tumejawa wivu na kuumia kwa vitu tusivyo na uwezo navyo, Mimi nakuasa tu ujue kuwa ELIMU NDOGO NI SUMU, (Chachage, 2004) R.I.P PROF CHACHAGE.
Mpuuzi mkubwa na masters yako, kabla ya kudai maslahi timizeni wajibu wenu kwa manufaa ya watanzania na siyo kukimbilia mishahara mikubwa
Hakuna anayepiga kusoma tatizo watu wanasoma ajili ya nini? 99% ni kupandishwa mishahara na siyo kuleta tija kazini, watu wakiwa ofisini kazi kubwa ni kubishana mambo ya mipira na bongo fleva sijuiMkuu mbona umekuwa na makasiriko ghafla kwa wasomi? waache wadai mambo yao bhana hizo shahada hazipatikani kirahisi kama unavyotaka kuaminisha watu na ukifanikiwa kuhitimu tayari unayo maarifa ya kiwango cha juu zaidi cha uelewa, namna utakavyoenda kuyatumia hayo maarifa ndo linakuwa jambo jingine.
Hakuna anayepiga kusoma tatizo watu wanasoma ajili ya nini? 99% ni kupandishwa mishahara na siyo kuleta tija kazini, watu wakiwa ofisini kazi kubwa ni kubishana mambo ya mipira na bongo fleva sijuiMkuu mbona umekuwa na makasiriko ghafla kwa wasomi? waache wadai mambo yao bhana hizo shahada hazipatikani kirahisi kama unavyotaka kuaminisha watu na ukifanikiwa kuhitimu tayari unayo maarifa ya kiwango cha juu zaidi cha uelewa, namna utakavyoenda kuyatumia hayo maarifa ndo linakuwa jambo jingine.
Hakuna anayepiga kusoma tatizo watu wanasoma ajili ya nini? 99% ni kupandishwa mishahara na siyo kuleta tija kazini, watu wakiwa ofisini kazi kubwa ni kubishana mambo ya mipira na bongo fleva sijui
Mkuuu mara zote huwa sibishani na mtu mwenye hulka ya kupenda ligi. Hapa JF hakuna tuzo wala mshahara. SIYO KILA KAZI, WORKLOAD YAKE INAHITAJI MASTERS DEGREE! Dereva, Mfagizi wa Ofisi, Mlinzi Getini, Mwalimu wa Msingi, Nursery and the like ziko classfied kwamba nature yake na ukubwa wa Majukumu yake hayaitaji Masters lkn wapo wale Vichwa ngumu analazimisha kujisomea hukooo baadae anapeleka cheti. Sasa hicho cheti kitaishia kufungia maandazi tu maaana ukubwa wa kazi haukihitaji. Bali unahitaji mafunzo mafupi ya kuongeza Ujuzi, morali ya kazi, kutumia vitendea kazi vya kisasa nk. Over.Mkuu ebu jibu swali,huyo mmteule yupo sahihi!!?
Mwenyewe tu hujielewi anza kujielewa wewe kwanzaMkuuu mara zote huwa sibishani na mtu mwenye hulka ya kupenda ligi. Hapa JF hakuna tuzo wala mshahara. SIYO KILA KAZI, WORKLOAD YAKE INAHITAJI MASTERS DEGREE! Dereva, Mfagizi wa Ofisi, Mlinzi Getini, Mwalimu wa Msingi, Nursery and the like ziko classfied kwamba nature yake na ukubwa wa Majukumu yake hayaitaji Masters lkn wapo wale Vichwa ngumu analazimisha kujisomea hukooo baadae anapeleka cheti. Sasa hicho cheti kitaishia kufungia maandazi tu maaana ukubwa wa kazi haukihitaji. Bali unahitaji mafunzo mafupi ya kuongeza Ujuzi, morali ya kazi, kutumia vitendea kazi vya kisasa nk. Over.
Lkn kwa zile kazi zilizoclassfied kuhitaji Masters wanapewa nyongeza za Pesa wakihitimu masomo. achana naye kama anaendelea kubishana.
Hatuna kitu kinaitwa MASTERS DEGREE bali MASTER DEGREE hiyo S` haipoWasomi hawahawa wa TZ
Hawa hawa wenye MASTERS DIGREE instead of MASTERS DEGREE 😂😂
Hapana aisee bora tuendelee na utaratibu ule ule.
Kama kitu hukifaham na huna taarifa nacho kamili tulia kimya syo unajifanya unajua kumbe ni kilaza mmoja hatari kwahyo hao Walimu wa secondary wenye Masters wanalipwa mshahara wa masters? Naww usiwe Kama kunguruMkuuu mara zote huwa sibishani na mtu mwenye hulka ya kupenda ligi. Hapa JF hakuna tuzo wala mshahara. SIYO KILA KAZI, WORKLOAD YAKE INAHITAJI MASTERS DEGREE! Dereva, Mfagizi wa Ofisi, Mlinzi Getini, Mwalimu wa Msingi, Nursery and the like ziko classfied kwamba nature yake na ukubwa wa Majukumu yake hayaitaji Masters lkn wapo wale Vichwa ngumu analazimisha kujisomea hukooo baadae anapeleka cheti. Sasa hicho cheti kitaishia kufungia maandazi tu maaana ukubwa wa kazi haukihitaji. Bali unahitaji mafunzo mafupi ya kuongeza Ujuzi, morali ya kazi, kutumia vitendea kazi vya kisasa nk. Over.
Lkn kwa zile kazi zilizoclassfied kuhitaji Masters wanapewa nyongeza za Pesa wakihitimu masomo. achana naye kama anaendelea kubishana.
Trillion 41Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Isipotokea Inshallah siku nyingine.
KAZI IENDELEE