Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM.
Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo visababishi vikubwa vya Samia kuchukiwa.
Katika watu 37.6m waliojiandikisha Samia akipata kura halali 3m, nitakichangia chama Cha mapinduzi $40k.
Mto wa Mbu
Kwa Sasa Indiana- USA.