Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Sasa contenders ni Salum Mwalimu na Luhaga Mpina unategemea nini hapoJana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM.
Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo visababishi vikubwa vya Samia kuchukiwa.
Katika watu 37.6m waliojiandikisha Samia akipata kura halali 3m, nitakichangia chama Cha mapinduzi $40k.
Mto wa Mbu
Kwa Sasa Indiana- USA.
Jana alisema wataweza au hawataweza?Sasa contenders ni Salum Mwalimu na Luhaga Mpina unategemea nini hapo
Kwamba ata buku Tano hapatiUmekadiria mbali Sana, hata laki1 Tu hapati
Mimi nawaona wote watatu ni comedians tuuJana alisema wataweza au hawataweza?
Sasa mbona mnajichanganya!Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM.
Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo visababishi vikubwa vya Samia kuchukiwa.
Katika watu 37.6m waliojiandikisha Samia akipata kura halali 3m, nitakichangia chama Cha mapinduzi $40k.
Mto wa Mbu
Kwa Sasa Indiana- USA.
Huo ndo ukweli wenyewe, Chief...Mimi nawaona wote watatu ni comedians tuu
Mkuu elf 5 hii au nyingine ?Hazitafika kura elfu tano.
Mkuu msaada hata laki sielewiJana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM.
Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo visababishi vikubwa vya Samia kuchukiwa.
Katika watu 37.6m waliojiandikisha Samia akipata kura halali 3m, nitakichangia chama Cha mapinduzi $40k.
Mto wa Mbu
Kwa Sasa Indiana- USA.
Akifikisha kura Laki moja nitajua Uganga unafanya kaziJana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM.
Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo visababishi vikubwa vya Samia kuchukiwa.
Katika watu 37.6m waliojiandikisha Samia akipata kura halali 3m, nitakichangia chama Cha mapinduzi $40k.
Mto wa Mbu
Kwa Sasa Indiana- USA.
We jinga maskini ni km umechanganyikiwa.Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.