Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi hakuna sehemu niliyomtaja Mungu katika comment yangu.Siyo maombi yote yanamhusu Mungu,siyo maombi yote yana imani ndani yake,e.t.cMungu na shetani nani ana nguvu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hakuna sehemu niliyomtaja Mungu katika comment yangu.Siyo maombi yote yanamhusu Mungu,siyo maombi yote yana imani ndani yake,e.t.cMungu na shetani nani ana nguvu?
Simpangii Mungu wa Miungu ila Nia yangu haki,furaha amani na upendo virejee Nchini.Ukishaitoa CCM madarakani unakileta chama gani icho cha Mungu muumba?
Nimeuliza hivyo kwasababu jamaa kamtaja Mungu na wewe umemtaja shetani, nikajiuliza huo mpambano nani atashinda.Mimi hakuna sehemu niliyomtaja Mungu katika comment yangu.Siyo maombi yote yanamhusu mungu,siyo maombi yote yana imani ndani yake,e.t.c
Mamlaka zisipo mheshimu Mungu ,Mungu mwenyewe huziondoa.Uyo mungu wako, kakuamuru uziheshimu mamlaka zinazo kuongoza.
Maana yake, Mungu kampa baraka zote Mh John Pombe, Magufuli kukuongoza.
Kumtaja Mungu peke yake haitoshi,ni wangapi wanamtaja Mungu lakini hawana imani?Anaweza kumtaja Mungu halafu akaja kufanya maombi yasiyokuwa na imani!Nimeuliza hivyo kwasababu jamaa kamtaja Mungu na wewe umemtaja shetani, nikajiuliza huo mpambano nani atashinda.
Binafsi sina uhakika kama hivyo viumbe vina exist.
Mungu yupi sasa maana hata Lissu tuliambiwa ni mpango wa Mungu ila baada ya uchaguzi tunaona Lissu analalamika uchaguzi haukuwa wa haki na kakataa matokeo ya uchaguzi,sasa hapo utajiuliza je mpango wa Mungu umefeli mbele ya shetani?Mungu na shetani nani ana nguvu?
Kama huyo wakiwa wawili walimezwa na nyoka wa Mussa.Mkuu maombi yatafua dafu kwa huyu shetani?View attachment 1633583
Mungu huyo ndio ambaye tuliambiwa Lissu ni mpango wake kwamba Lissu ni mpango wa Mungu na kwa hivyo watu wakaamini kuwa ccm lazima itoke madarakani maana huyo Mungu huwa hashindwi?Mimi Lee namfuata Mungu Mkuu,Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo.
Kwa kuwa aliagiza hivi
Enendeni Duniani kote mkafanye mataifa yote kuwa Ni wafuasi wangu.
Huyu Mungu ndiye ambae Kuna watu wanamdhihaki.lakini wanasahau kuwa Huwa hadhihakiwi.
Kila mtu ana Mungu wake ndio maana kuna dini tofauti tofauti na madhehebu tofauti.Kumtaja Mungu peke yake haitoshi,ni wangapi wanamtaja Mungu lakini hawana imani?Anaweza kumtaja Mungu halafu akaja kufanya maombi yasiyokuwa na imani!
Toba inafanya kazi ukitubu na kuacha hilo tendo baya... meaning, kama umepora urejeshe ulichoiba kwa mwenyewe..Ndiyo, yaweza kuwa CCM ni watenda dhambi Sana!! Lakini wakiamua leo hii wamrejee Mungu wanasamehewa kimyakimya huku wakiendelea kukuongoza!!!
Ha haaa maneno tu watu. Mungu yupo zake karelax wala hana mpango na siasa zenuMungu yupi sasa maana hata Lissu tuliambiwa ni mpango wa Mungu ila baada ya uchaguzi tunaona Lissu analalamika uchaguzi haukuwa wa haki na kakataa matokeo ya uchaguzi,sasa hapo utajiuliza je mpango wa Mungu umefeli mbele ya shetani?
Kwa nini hayatafanikiwa?Hakuna ambao waliwahi kumuomba Mungu wakafanikiwa?Kila mtu ana Mungu wake ndio maana kuna dini tofauti tofauti na madhehebu tofauti.
Ila maombi ya jamaa hayatafanikiwa, hizo nguvu ni bora akawekeza kwenye Jambo lingine
Kuna watu tulidhani walikuwa wamejazwa "Roho Mtakatifu"jinsi walivyojiaminisha wakati wa kampeni,lakini kwa sasa wamekuwa tofauti.Mugu huyo ndio ambaye tuliambiwa Lissu ni mpango wake kwamba Lissu ni mpango wa Mungu na kwa hivyo watu wakaamini kuwa ccm lazima itoke madarakani maana huyo Mungu huwa hashindwi?
Halleluya!Nimeamua kuachana kabisa na harakati za kisiasa kwa nia ya kuitoa CCM. Nimeamua kuachana na njia za kisiasa kama kupiga kura, maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa kwa sababu CCM haiheshimu maamuzi ya wananchi wengi kwa njia ya kura,au sauti za walio wengi. CCM wameamua kutumia nguvu za Dola kubaki madarakani....
Daa. Umenikumbusha kuna Nabii alifanya maombi kisha akawaambia waumini wake kuwa anaweza kuingia kwenye kundi la simba na wasimfanye kitu. Kilichotokea ni kwamba aligeuzwa kitoweo cha Simba.Fanya Msihara na vitu vyote lakini sio Mungu Mkuu.
Aliyetenganisha bahari waisrael wakavuka.
Watanzania ambao awajiusishi na siasa ambao ni wengi awanastrees na wanachapa kazi,wanafuraha ya kutosha.Simpangii Mungu wa Miungu ila Nia yangu haki,furaha amani na upendo virejee Nchini.
Hatafanikiwa maana wapo pia wanaoomba CCM iendelelee kushika dola. Sasa hapo sijui nani atasikilizwa.Kwa nini hayatafanikiwa?Hakuna ambao waliwahi kumuomba Mungu wakafanikiwa?