Nitaitoa CCM peke yangu tu, kwa njia mbadala

Nitaitoa CCM peke yangu tu, kwa njia mbadala

Nimeamua kuachana kabisa na harakati za kisiasa kwa nia ya kuitoa CCM. Nimeamua kuachana na njia za kisiasa kama kupiga kura, maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa kwa sababu CCM haiheshimu maamuzi ya wananchi wengi kwa njia ya kura,au sauti za walio wengi. CCM wameamua kutumia nguvu za Dola kubaki madarakani.

Sasa nimeamua Mimi peke yangu kutumia njia ya MAOMBI, Mimi peke yangu nitakua namuomba Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo
Aitoe CCM madarakani kwa aibu na fedheha kubwa.

Aanze kuwatoa VIONGOZi wa CCM mmoja kila baada ya mwingine kwa muda mfupi Sana bila kuleta madhara kwa Taifa.
Mimi sio mlokole, Wala mtakatifu, lakini Ni Binadamu.

Na Mungu anasikia kila neno litokalo kwa kiumbe wake. Hivyo kwa imani bila kushirikiana na Watanzania wengine mimi peke yangu tu naweza,kwani Mungu katoa nafasi hiyo ya mtu yeyote kuweza kuomba na kujibiwa.

Mungu atajibu tu. Mungu anaona mateso yetu.
Asante Mungu,kwa kujibu.
Hatua ya Kwanza.
 
Fanya Msihara na vitu vyote lakini sio Mungu Mkuu.
Aliyetenganisha bahari waisrael wakavuka.
Huyo ni Mungu wa wenzio! Hata kusikiliza. Siku mlipo ambiwa muombe kwa huyo Mungu wao na muachane na wenu, walijua Sala zenu zitakuwa zina chujwa! Siyo zote zitakubalika, kwa mfano ukiiombea CCM mabaya, dua yako itakuwa kama anayo omba kuku kumuombea mwewe!
 
Back
Top Bottom