Hana ama anao?Toka ujiite "Mgonjwa wa Ukimwi" sikuamini kbs
Wakati anashiriki wewe ulikuwepo? Kama utakanusha maana yake wewe unamjua muuaji na tutakomaa na wewe mpaka usemeUpotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Anaona swali subiri tu atakujibu,Hana ama anao?
🙄Wewe ni marehemu B. Membe?
Polepole kazua mambo😄😃😆Anaona swali subiri tu atakujibu,
Huoni Kikwete alipojaribu kutetea wizi wa fedha za uviko, amejikuta yeye ndio hamnazo!Hoja za HP hazijibiki.
😂😂😂🤔Sawa, tunakusubiri ulihutubie taifa 😎
No tuna mange kwanza alisema anampisha HP, then tutamaliza na Gwajima kabla HP hajarudiMkijibu tu, jamaa anawapiga kipigo mnakaa chini. Weekend hii tuna Gwajiboy au siyo.
Hayo ni maoni yangu kuwa kwa uzito na umuhimu wa kazi anayo fanya kwa Tanzania ; hiyo ni kazi ya kitume!! You have a right to disagree.Hata kama anaongea yale aliyoshiriki pole pole hajafikia kuwa mtume
Hatupokei maneno matupu leta ushahidiUpotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Hujasema Polepole ni mtume bali umesema anafanya kazi ya kitume! Upo sahihi.Hayo ni maoni yangu kuwa kwa uzito na umuhimu wa kazi anayo fanya kwa kutanzania ; hiyo no kazi ya kitume!! You have a right to disagree.
kwahiyo mipango yote ya kaka yako alikuwa anakuambia!?Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Mpina angekuwepo hapo kuongeza spana kama asingejiunga na CCM B. Huko watamdhibiti na kumfunga mdomo.No tuna mange kwanza alisema anampisha HP, then tutamaliza na Gwajima kabla HP hajarudi
Aisee