G
guest-1790917349
Guest
HakikaMpina angekuwepo hapo kuongeza spana kama asingejiunga na CCM B. Huko watamdhibiti na kumfunga mdomo.
HakikaMpina angekuwepo hapo kuongeza spana kama asingejiunga na CCM B. Huko watamdhibiti na kumfunga mdomo.
Ukweli lazima usemweWewe ni kichekesho
Someone in a payroll! Hana namna !Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Wewe nakwambia nikuoe hutaki😂😂😂Yaani uzuri hp anaenda taratibu
Yaani km vitani una silaha mia,unachomoa moja moja ...au anachomoa kulingana na anaejitokeza mbele yake kujibu....
Nasubiri kuona huyo boss mwandamizi wa mtandao na msoga wakijibu Ili kumtoa nyoka pangoni.....
😂😂😂😂Weee usiniambieWewe nakwambia nikuoe hutaki😂😂😂
Sasa muda wote huo ndugu?😂Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Kama Lucas MwashambwaSasa muda wote huo ndugu?😂
Nonesense, mnatujazia servers tu humu mbwa wala makombo ya wanufaika wa mfumo wa kijambazi , mazafaka youUpotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Lazima utetee kaka ata kama ni kweli,nakumbuka kuna jirani yetu alikuwa na mtoto mlwizi alikuwa akimkuta anapigwa ana mtetea mpaka anagalagala chini akisema mwanangu sio mwizi😆😆 damu nzito kuliko maji,lakini mwisho wa siku alikuja kuchomwa moto pale mitaa ya kigogo😆Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Unapenda umbea na majungu sanaYaani uzuri hp anaenda taratibu
Yaani km vitani una silaha mia,unachomoa moja moja ...au anachomoa kulingana na anaejitokeza mbele yake kujibu....
Nasubiri kuona huyo boss mwandamizi wa mtandao na msoga wakijibu Ili kumtoa nyoka pangoni.....
Aliamini 2015 ata shinda Urais hivyo ataanza visasi😆😆😆Membe 2014 alihojiaa ITV kipindi cha kipima joto, akasema kwa kusisitiza kuwa ana maadui 11 ndani ya nchi na ikifika 2016 watakimbilia Kenya.
Nimekukumbusha hilo ili uelewe kuwa membe alikua na makandp kando mengi hivyo utapojibu unaweza sababisha mengi yakafunguliwa