Nitajibu upotoshaji wa ndugu Polepole juu ya uhusika wa hayati Bernard Membe (RIP) kwenye kifo cha hayati John Magufuli (RIP)

Nitajibu upotoshaji wa ndugu Polepole juu ya uhusika wa hayati Bernard Membe (RIP) kwenye kifo cha hayati John Magufuli (RIP)

Namuomba Pole pole agusie na ule moshi uliomtokea Hayati Magu pale Luangwa. Nahisi Membe pia yupo.
 
Unapenda umbea na majungu sana

USSR
We nn kimekuleta basi kwenye huu umbea?
Si ungeenda kwenye jukwaa la uchumi na elimu ?unafanya nn hapa?

Na ukitaka kujua ulizotaja ndo tabia zako ndo maana upo hapa kufuatilia watu
Nyie ndo wanaume wambea kutwa kufuatilia ya watu instead of kufuatilia mambo ya msingi , no wonder Tz Iko hivi🤔wanaume km kina HP wachache sn
 
Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
Wakubwa Zako Wenyewe Mbaka Sasa hivi Wameshindwa kumjibu Slow Slow- Je Wewe utaweza kumjibu? Ningekuona Mtu wa Maana Ungeshikilia pale pale KWENYE Msimamo wa MAHAKAMA kwamba Musiba Amlipe Marehemu Bernard Membe, Mengineo Utoyaweza
 
Back
Top Bottom