Aliwah kutokea the(currently)Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Uko sahihi.Rais haihitaji kudhibiti nchi, wala haitaji kuwa katili ili watu wamwogope, ni mawazo ya ajabu kabisa.
Lakini haishangazi, hata katika familia zenu wengi wenu mnaogopwa na watoto wenu badala ya kuheshimiwa.
Wewe nchi ni kubwa na ina watendaji wengi lazima wote wajue msimamo wako kwamba ukizingua kwenye taasisi yako au shirika unatimuliwa kwa aibu lazima tu waogope...mtoa mada hakuna rais mpole atakayefanikiwa africa Mungu ametupa mfano bora wa magufuli kazi kwetuRais haihitaji kudhibiti nchi, wala haitaji kuwa katili ili watu wamwogope, ni mawazo ya ajabu kabisa.
Lakini haishangazi, hata katika familia zenu wengi wenu mnaogopwa na watoto wenu badala ya kuheshimiwa.
MandelaTunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Kinacho ongoza nchi ni katiba sio ukali wala upole tatizo viongozi wa kiafrika wanajifanya wakali hili waibe sio kusimamia katiba mfano msv7 magu kagame nkTunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Pengine tunahitaji kurejea kwa watangulizi ili tubaini jibu la swali lako.Akiwa mkali mnamwita dikteta.
Akiwa mpole mnamwita dhaifu.
So which one is....
Uhuru KenyetaTunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Better Sukuma Gang than Chaga gang. Never will they rule this stateSukuma gang.......
Sijamaanisha kufoka foka au kugomba, binafsi hata mi sipendi kugombezwa.Kwani kufoka ndo uongozi?
Mandela hakuwahi kufokafoka..
Wala Botswana haijawahi pata kiongozi anaefokafoka...
Mauritius unajua wametuacha kiasi gani Kwa Maendeleo?hawana Viongozi wanao foka foka..
Kufoka foka ni dalili ya kutokuwa na majawabu na kutupia lawama watu wa chini yako ..
Hata Mwingi hakuwa anafoka foka .
Mkapa ndo kabisa alikuwa anafanya overhaul maeneo Tele bila hata kufoka foka
Nimekupa mfano wa Mauritius unaijua?...unge Google kwanza ...Sijamaanisha kufoka foka au kugomba, binafsi hata mi sipendi kugombezwa.
Ninachomaanisha hapo ni kuwa na msimamo na uwezo wa kupambana na mambo yasiyojenga taifa au yanayoliletea taifa hasara. Mfano kudhibiti rushwa, kuzuia mirija ya matumizi mabaya ya fedha za umma, kudhibiti mfumuko wa bei hata kama wafanyabiashara ni watu wake wa karibu, kulinda maadiki ya taifa nk.
I need vivid examples, compare and construct.
Tuache uchawa kwanza kwa muda, tuzungumze ukweli wa mambo