Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita ni uamuzi wa kitaifa dhidi ya waasi wanaotaka kuligawa taifa (uhaini). Usilinganishe na uamuzi binafsi wa kuzuia uhuru wa habari, demokrasia na kuwa na vikundi vya wasiojulikana kuteka, kutesa na kuua wakosoaji nje ya mfumo wa katiba na sheria za nchi.Hata Lincoln, A hakuwa mpole. Kwa taarifa yako ndiye aliyeendesha vita dhidi ya waliotaka kuitenga Amerika na akafanikiwa akiwa na Kamanda wake General Grant!
RamaphosaTunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Una maana gani unaposema mpole?. Maana ukali unaweza kumaanisha ukosefu wa hekima. Ukali unaweza kumaanisha kutaka kuwa juu ya wasaidizi wako muda wote hata katika masuala ya weledi ambayo wameyasomea na wanayafahamu kukuzidi.Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Pia kufoka ni dalili ya matatizo binafsi ya rais husika. Kutaka kuogopwa kunaambatana na hiyo tabia.Kwani kufoka ndo uongozi?
Mandela hakuwahi kufokafoka..
Wala Botswana haijawahi pata kiongozi anaefokafoka...
Mauritius unajua wametuacha kiasi gani Kwa Maendeleo?hawana Viongozi wanao foka foka..
Kufoka foka ni dalili ya kutokuwa na majawabu na kutupia lawama watu wa chini yako ..
Hata Mwingi hakuwa anafoka foka .
Mkapa ndo kabisa alikuwa anafanya overhaul maeneo Tele bila hata kufoka foka
Ahahahahah!Vita ni uamuzi wa kitaifa dhidi ya waasi wanaotaka kuligawa taifa (uhaini). Usilinganishe na uamuzi binafsi wa kuzuia uhuru wa habari, demokrasia na kuwa na vikundi vya wasiojulikana kuteka, kutesa na kuua wakosoaji nje ya mfumo wa katiba na sheria za nchi.
Kudhibiti uhalifu wa kisiasa na kijamii kunahitaji kuwa na mifumo inayofanya kazi hakuhitaji mtu anayetumia nguvu kubwa na wakati huo huo akiumiza tabaka la watu wa upande mwingine bila ya sababu ya msingi.Kweli nianze kugoogle taifa moja baada ya jingine na viongozi wake?
Ungeweka hapa wasifu wake itasaidia na wengine pia wenye kuhitaji majibu!
Huyo kiongozi alitumia mbinu gani?
Aliwezaje kudhibiti uhalifu wa kisiasa, kijamii nk? Aliwezaje kuwafanya walio chini kuwa waadilifu wakati wote? Aliwezaje kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma? Hilo taifa lina idadi gani ya watu? Wana kipato kipi?
Wanaendeshaje uchumi wao? Walianzia wapi?
Unamaanisha kudhibiti ni kufanyaje, kuua? Kudhulumu watu mali zao, kuwa Rais mkatili kama Magufuli?Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Ukali unasaidia pale ambapo mhusika anakuwa mtenda haki asiye mwizi. Mf nyerere. Usimlete yule2 jambazi muuaji hapa,. The nightmare of tzTunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk kudhibiti nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk
Ukali unasaidia pale ambapo mhusika anakuwa mtenda haki asiye mwizi. Mf nyerere. Usimlete yule2 jambazi muuaji hapa,. The nightmare of tz
Kwani kufoka ndo uongozi?
Mandela hakuwahi kufokafoka..
Wala Botswana haijawahi pata kiongozi anaefokafoka...
Mauritius unajua wametuacha kiasi gani Kwa Maendeleo?hawana Viongozi wanao foka foka..
Kufoka foka ni dalili ya kutokuwa na majawabu na kutupia lawama watu wa chini yako ..
Hata Mwingi hakuwa anafoka foka .
Mkapa ndo kabisa alikuwa anafanya overhaul maeneo Tele bila hata kufoka foka
Hizo ni katiba nzuri kwa jinsi walivyoona wao sio lazima ifae kwetu.ila pia inawezekana kupitia katiba hizo ndizo zilizopelekea wewe kujua kuna huo ufisadi.Ni mjinga peke yake ndiye atakayeogopa nchi kua na katiba bora itakayowajibisha na kujisimamia.South Africa wana katiba nzuri sana, lakini rais wao yuko kwenye skandali za ufisadi karibu kila mwaka, hiyo katiba yako inasaidiaje hapo?
Kenya wana katiba nzuri, lakini wamechagua rais aliye na tuhuma za ufisadi wa kutisha, hiyo katiba yako inasaidiaje hapo?
Kibaki alikua mkali? Mbona Kenya ilipaa kiuchumi kuliko hata utawala wa dikteta MoiWewe nchi ni kubwa na ina watendaji wengi lazima wote wajue msimamo wako kwamba ukizingua kwenye taasisi yako au shirika unatimuliwa kwa aibu lazima tu waogope...mtoa mada hakuna rais mpole atakayefanikiwa africa Mungu ametupa mfano bora wa magufuli kazi kwetu
Hatuhitaji mdhibiti nchi bali tunahitaji kiongozi anayeheshimu katiba, sheria na kanuni zote zinazoongoza nchi.
Wewe nchi ni kubwa na ina watendaji wengi lazima wote wajue msimamo wako kwamba ukizingua kwenye taasisi yako au shirika unatimuliwa kwa aibu lazima tu waogope...mtoa mada hakuna rais mpole atakayefanikiwa africa Mungu ametupa mfano bora wa magufuli kazi kwetu